Mwanaume anaemsikiliza mwanamke hawezi kufeli

Mwanaume anaemsikiliza mwanamke hawezi kufeli

Acha kutupotosha sababu iliyomfanya adamu apewe adhabu ya kula kwa jasho ni kumsikiliza mkewe Eve. Mwanaume anayeongozwa na mkewe hana tofauti gari bovu.
Biblia umeandika mwanamme ampende mkewe na kumsikiliza ili maombi ya mwanaume yasizuiliwe
 
Kama ni mwanamke ndiye katoa hili wazo siyo tatizo maana ata wanawake wao kwa wao huwa hawajielewi vipi kumshauri mwanaume 🤔🤔🤔
 
Biblia umeandika mwanamme ampende mkewe na kumsikiliza ili maombi ya mwanaume yasizuiliwe
Tofautisha kupenda na kusikiliza.. tumeamriwa tuwapende sio kuwasilikiza kama unalo andiko la kuwasikiliza nitumie..
 
Adam alifaulu eeeh, ibrahim je, tuachane na hao niambie kuhusu samsoni, yawezekana samson alikuwa na mahaba ya kihindi, yule mfalme suleiman alifanyaje kwa matakwa ya esta aliishia kukata askari wake mtiifu kichwa. Review uziwako urekwbishe kichwa cha habari. For every failure of a man there is a woman hidden behind. Nyie wenyewe hum mwanaume akikaa kibra mnampukutisha hadi nauli

Correction,
Esta alifanya kichwa cha Hamani kikatwe Kwa ushawishi aliokuwa nao Kwa Mumewe Mfalme Ahasuero.

BTW, Ile ni karma maana Hamani alikuwa anafanya fitina na husda Kwa Moridekai.. Mjomba na mlezi wa Esta.

Tujifunze kuchagua vita na Watu wa kuwafanyia vita.
 
Kama ni mwanamke ndiye katoa hili wazo siyo tatizo maana ata wanawake wao kwa wao huwa hawajielewi vipi kumshauri mwanaume 🤔🤔🤔
NI vile Biblia hausomi hata nikilipa maandiko utakataa
 
Hapo kwenye kumsikiliza mkewe umetia chumvi, Biblia inakazia mwanamke kumtii mwanaume, kwa maana ya kwamba mwanaume ndiyo msemaji wa mwisho, hakuna cha kumsikiliza na kumtii mwanamke.
Kasome tena Biblia au Google sehemu wameandika mwanammee apomsikiza mkewe maombi yake yatazuiliwa
Ukizuiliwa maombi utasogea kwenda wap
 
Correction,
Esta alifanya kichwa cha Hamani kikatwe Kwa ushawishi aliokuwa nao Kwa Mumewe Mfalme Ahasuero.

BTW, Ile ni karma maana Hamani alikuwa anafanya fitina na husda Kwa Moridekai.. Mjomba na mlezi wa Esta.

Tujifunze kuchagua vita na Watu wa kuwafanyia vita.
Biblia imesema wazi kabisa
Mwanaume msikizie mkeo ili maombi yako yasizuiliwe
 
Back
Top Bottom