UnafurahishaKozi ya nesi kwa Tanzania ni dhahabu mno , diploma RN wa nest na degree , acha upumbavu wa kukaa kifala , wewe ni dhahabu mno kwenye huu ulimwengu.
C.c Kiranga
Kwa kweli. Health workers ni dili sana huko ughaibuni aisee.Kozi ya nesi kwa Tanzania ni dhahabu mno , diploma RN wa nesi na degree , acha upumbavu wa kukaa kifala , wewe ni dhahabu mno kwenye huu ulimwengu.
C.c Kiranga
Jazilizia nyama bwashee.Kozi ya nesi kwa Tanzania ni dhahabu mno , diploma RN wa nesi na degree , acha upumbavu wa kukaa kifala , wewe ni dhahabu mno kwenye huu ulimwengu.
C.c Kiranga
Duh! uanaume kazi....Anatazama uchi za kila namna,
kuna kipindi niliendaga kumtembelea wagonjwa hosp ya kcmc nikapita emergency aise wauguzi wanafanya kazi ngumu sana,kuna jamaa sjui alikuwa na kidonda mguuni aise kilikuwa kinatoa harufu kali lkn nurse anasafisha wala awazi
kuzalisha,kuosha vidonda ...nkDuh! uanaume kazi....
Hivi jamaa huwa hawaingii majaribuni kweli.kuzalisha,kuosha vidonda ...nk
Wanaboa, maybe private ndio watakujali..nurse wa kike huwa wanna kuwa roho mbaya sana nadhani hio kozi wangesoma tu wanaume,
Kaka nimeanza kulewa ngoja niende nyumbaniKozi ya nesi kwa Tanzania ni dhahabu mno , diploma RN wa nesi na degree , acha upumbavu wa kukaa kifala , wewe ni dhahabu mno kwenye huu ulimwengu.
C.c Kiranga