Mwanaume anaesomea nursing na ukunga ndio mtu shujaa sasa kwa Tanzania

Mwanaume anaesomea nursing na ukunga ndio mtu shujaa sasa kwa Tanzania

Hakuna njia nyingine ya kupima njia? Nimechoka kuingizwa mikono.
Medical personnels wengi hawapendi hiyo procedure maana kuna wengine ni H.I.V positive imagine unaenda kumpima njia , mbaya zaidi wengine cervix yao ipo chini sana hivyo vidole inabidi uvisokomeze ndani ndani huko , yani full kushika midamu na wengine uchi unanuka vibaya mno.
 
Hiyo kozi wana ajirika mapema na kwa wingi na sio kama ina pesa.

Na wanaajirika mapema kwa sababu ni viraka , ni mabeki tatu waliochangamka ,kufua mashuka wao, kutandika vitanda wao , kufagia na kudeki wao, kumuuguza mgonjwa wao nk.
Hiyo kazi sio lazima usome ufanye bongo nyoso
 
Kuna chuo tulisoma mchanganyiko wavulana na wasichanga, kukawa na kozi ya secretarial. hii kozi ya usekretari inapendelewa sana na wanawake, tukawa tunashangaa wavulana watatu wanaisomea huku darasa zima ni wasichana. tukajiuliza hawa jamaa watapata ajira wapi kama mabosi wengi wanapendelea kuwa na masekretari wanawake? Tumezoea kuona manesi wanawake tu hawa wa kiume hawana mvuto kwa wagonjwa
Nikupe siri ukiwa mwanaume na ukasomea usekretari kupata kazi ni rahisi sana hasa kwenye utumishi wa Umma ama taasisi binafsi kubwakubwa,wanawachukulia wanaume kama watu ambao kwamwezi mahudhurio yao ni mazuri kuliko wanawake,chukua code iyo
 
Hii kozi kwa hapa kwetu inadharaulika sana ila kwa marekani na Austria zinalipa pesa nyingi sana kuna watu wana wanabadilisha course ili wasomee unesi.
 
LINDENI AFYA ZENU
MADAKATRI WANAKIMBIA ORGANIC
EB3C9F96-AB87-484F-9D6D-79D7CEAD4156.png
 
Hiyo kozi wana ajirika mapema na kwa wingi na sio kama ina pesa.

Na wanaajirika mapema kwa sababu ni viraka , ni mabeki tatu waliochangamka ,kufua mashuka wao, kutandika vitanda wao , kufagia na kudeki wao, kumuuguza mgonjwa wao nk.
Hapo jukumu la Nurse ni Moja tuu,

USafi (Kufagia, kudeki na kufua mashuka ) ni kazi ya wafanya usafi.

Labda kutandika kitanda na kuuguza.
 
Ninaona vijana wenzangu wanavyokwea midege😃

Ausbildung za Germany, UK health and care worker visa, Canada wana express entry juzi tar. 4 kuna washkaji walichaguliwa. DV ya US mwaka huu TZ itaruhusiwa na wengi wataomba.

Sisi tuliojikuta watabe kusomea engineering sciences tunakaanga chipsi.
Taaluma yoyote inalipa ni ubunifu wako tu mkuu,ila ukikaa kizembe unasubiria kushikwa mkono kila fani utaiona haifai
 
Back
Top Bottom