Mwanaume anaesomea nursing na ukunga ndio mtu shujaa sasa kwa Tanzania

Mwanaume anaesomea nursing na ukunga ndio mtu shujaa sasa kwa Tanzania

Kuna chuo tulisoma mchanganyiko wavulana na wasichanga, kukawa na kozi ya secretarial. hii kozi ya usekretari inapendelewa sana na wanawake, tukawa tunashangaa wavulana watatu wanaisomea huku darasa zima ni wasichana. tukajiuliza hawa jamaa watapata ajira wapi kama mabosi wengi wanapendelea kuwa na masekretari wanawake? Tumezoea kuona manesi wanawake tu hawa wa kiume hawana mvuto kwa wagonjwa

Secretarial kwa wanaume?? Labda huko nje ila Bongo mbona utaambiwa ni PAPAI.
 
Sindano tulipendelea kuchomwa na nesi wa kike, unesi tuliona ni wa wanawake tu, madokta ndio wanaume, ila siku hizi kuna madokta wa kike na manesi wa kiume!

Kwanini lakiniii? 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom