😁😁😁ukimwi bwashee
Wapelekee moto,goli la tatu ulimwagie chini kuwashukuru mizimu ya kwenuSure bwashee , nipo hapa matako bar nautumbua kiroho safi😋😋😋
Aisee leo kasheshe, upumzike sasa!Gusana na mimi sasa😄
Nakunywa kutibu mafua sio kulewa! Na kidogo tequila inafanya miujizaKonyagi na tikila una kunywa ipi kulewa? Mamnyang'ode 😉
Peleka uongo huko konyagi na k vant zimekuharibuYeah , na nina vituo vya afya kibao tu , nimeajiri MD zaidi ya 13 na ninawalipa vizuri mno hawatamani kuondoka.
Nilianza na dry, inawezekana pia maana sikuona maajabu yoyoteSasa unakunywa Konyagi na apple punch kwanini mafua yasizidi piga dry
Ukute nyagi yenyewe ni feki
Jambo langu lipi? Kuwa makini utaita wanaume wenzio huko pmNjoo PM chap nina jambo lako mamiloo
Ndio furaha yake we ngojaDah! Mkuu shemeji yetu yupo hapa hapa, utafanya ahairishe harusi. 😊
Beki tatu wa hospital huku wanaitwa runner wa hospitalBwashee , kazi ya hela hiyo ,acha kuwaza umatumbini tu
Nmekuita wewe achana na hao mafalaJambo langu lipi? Kuwa makini utaita wanaume wenzio huko pm
Ndio furaha yake we ngoja
Tumeanza kukushtukia, unajipiga ban mwenyewe haiwezekani ban zako hazidumu!Si nilipingwa ban?
SitakiNmekuita wewe achana na hao mafala
Tumeanza kukushtukia, unajipiga ban mwenyewe haiwezekani ban zako hazidumu!
Kuna chuo tulisoma mchanganyiko wavulana na wasichanga, kukawa na kozi ya secretarial. hii kozi ya usekretari inapendelewa sana na wanawake, tukawa tunashangaa wavulana watatu wanaisomea huku darasa zima ni wasichana. tukajiuliza hawa jamaa watapata ajira wapi kama mabosi wengi wanapendelea kuwa na masekretari wanawake? Tumezoea kuona manesi wanawake tu hawa wa kiume hawana mvuto kwa wagonjwa
SitakiNmekuita wewe achana na hao mafala