Mwanaume anaesomea nursing na ukunga ndio mtu shujaa sasa kwa Tanzania

Mwanaume anaesomea nursing na ukunga ndio mtu shujaa sasa kwa Tanzania

Ninaona vijana wenzangu wanavyokwea midege😃

Ausbildung za Germany, UK health and care worker visa, Canada wana express entry juzi tar. 4 kuna washkaji walichaguliwa. DV ya US mwaka huu TZ itaruhusiwa na wengi wataomba.

Sisi tuliojikuta watabe kusomea engineering sciences tunakaanga chipsi.
Hahaha engineering bongo Us utapigika mno😁
 
ni allergies hio😂

Stop drinking alcohol/spirit
Wala nimehamia nyumba mpya ndio nikapata hii hali, nilisikiaga konyagi ni dawa asbh jana nimejaribu kuinywa ili nipone cha ajabu ndio yamezidi😓

Cc: min -me
 

Attachments

  • 8742C125-5D77-4645-AC75-0D0721397E40.jpeg
    8742C125-5D77-4645-AC75-0D0721397E40.jpeg
    540.8 KB · Views: 9
Kuna rafiki yangu yupo Connecticut analipwa dollar 86 kwa saa,qualified nurse wa bongo ukingia states unahitaji some credits na certification kuanza kazi sio kurudi shule full time,nasikia kazi na stress sana 👎
 
Back
Top Bottom