Mwanaume anaetumia TikTok na Instagram huwa napata mashaka na jinsia yake

Mtasema nifate maisha yangu hilo naunga mkono ila ushauri ni kitu muhimu na haukwepeki ndio mana Elon na utajiri wake ameomba ushauri ajihuzuru utendaji mkuu au abaki. Iko hivi ndugu zangu kule Instagram na tiktok Hakuna cha mana Zaid ya umbea wa mangekimambi na baba Levo

Unakuta janaume Zima namandevu lina login Instagram account, huko tiktok ndobala majungu na unafiki tu mbaya zaidi nao wanarekodi video wanakula chips Yai huku wakilamba lipsi kama mademu vile

Kizazi kinapotea wanaume tumebaki wachache ndugu zanguni, tuombe Mungu
Jumlisha ba snap chat hapo
 
Nipo insta..sifuatilii maisha ya mtu personal..sometimes tunahitaj kurefresh na clip za vichelekesho,kufuatilia spiritual contents,update mbalimbali kulingana na interest ya mtu.Usilinganishe insta na vitu vya ajabu😁
Afu hizo mitandao Ni tofauti kabisa

Insta, Twitter,tiktok, Facebook Ni tofaut kabisa nashangaa mtu anajiona kakua et hatumii fb kahamia insta,

Insta Ni lini mjadala umeanzishwa na ukaendelea kuwepo for days na notification ukapata ,
 
Mpyayungu leo umeonyesha ulivyo mtupu huko kichwani na uboga wako leo ni wazi kabisa, unaowaona wanapotea hizo ndio kazi zao full time na wanaingiza pesa za kutosha, jifunze namna ya kutumia hizo social media na kuwa content creator na wewe ufaidike, hata wewe unaonekana unaweza kuwa content creator mzuri sana maana una story nyingi sana, sasa badala ya kutoa burudani tuu humu unaweza ukazigeuza ikawa kipato kwako...video za kula chips,majungu, umbeya na kulamba chips ndio income yenyewe, go educate yourself
Yaani Hili jamaa ni lijinga sijawahi kukutana na ujinga km wake duniani.
Wenzie wanaingiza hela yeye amekalia kuponda kila kitu.

Hata hao wanawake wanaingiza hela pia sio wote wanaringishiana maisha.
 
Wacha weee
 
Mtasema nifate maisha yangu hilo naunga mkono ila ushauri ni kitu muhimu na haukwepeki ndio mana Elon na utajiri wake ameomba ushauri ajihuzuru utendaji mkuu au abaki. Iko hivi ndugu zangu kule Instagram na tiktok Hakuna cha mana Zaid ya umbea wa mangekimambi na baba Levo

Unakuta janaume Zima namandevu lina login Instagram account, huko tiktok ndobala majungu na unafiki tu mbaya zaidi nao wanarekodi video wanakula chips Yai huku wakilamba lipsi kama mademu vile

Kizazi kinapotea wanaume tumebaki wachache ndugu zanguni, tuombe Mungu
The mpwayungu village is back! 😃😃
 
Nashangaa mtu anafikiri mitandao ni ya wahuni au wambea
Ni jinsi unavyotaka wewe
Mimi naangalia sana magari mapya, technology zinazotoka kila leo na ubunifu pia kujisomea mengi ya Dunia
Kuna hata kufuatilia wahubiri na hata gardening au buildings na architectural

Mtu kama hajui kuwa yote hayo na chochote anachopendelea anapata kwenye mitandao basi atakuwa hajui na akijifanya anajua

Kuna mengi sana ya kujifunza na kuangalia kwenye insta na tiktok maana wabunifu na hata wafanyabiashara wengi sana wamo

Kuna mapishi na mengi ya kujifunza sio udangaji
Kuna jamaa flan wa interior design na wale wafuga samaki wapo Insta huko..hahaha moja nime apply pahala fundi kakimbia...😀😀😀😀😀😀😀mbele watu wanajenga Nyumba aiseee....
 
Mtasema nifate maisha yangu hilo naunga mkono ila ushauri ni kitu muhimu na haukwepeki ndio mana Elon na utajiri wake ameomba ushauri ajihuzuru utendaji mkuu au abaki. Iko hivi ndugu zangu kule Instagram na tiktok Hakuna cha mana Zaid ya umbea wa mangekimambi na baba Levo

Unakuta janaume Zima namandevu lina login Instagram account, huko tiktok ndobala majungu na unafiki tu mbaya zaidi nao wanarekodi video wanakula chips Yai huku wakilamba lipsi kama mademu vile

Kizazi kinapotea wanaume tumebaki wachache ndugu zanguni, tuombe Mungu
Binafsi nikiona mtu anaejitambulisha ni mwanaume na alihudhuria shule, ila hawezi kuandika lugha adhimu ya Kiswahili napata shaka sana na jinsia yake!
 
Back
Top Bottom