Mwanaume anaetumia TikTok na Instagram huwa napata mashaka na jinsia yake

Mwanaume anaetumia TikTok na Instagram huwa napata mashaka na jinsia yake

Labda Tiktok siwezi kutolea maoni kwa sababu sijawahi kutumia ila insta iko vizuri kea habari na updates za haraka hata madini sometimes na hayo yanategemea umewafollow watu wapi . Mimi mwaka juzi niliwaunfollow wakina page zote zisizo na mantiki na za hovyo sasa ninaenjoy Insta japo kuingia sio mara kwa mara sana.
 
Mtasema nifate maisha yangu hilo naunga mkono ila ushauri ni kitu muhimu na haukwepeki ndio mana Elon na utajiri wake ameomba ushauri ajihuzuru utendaji mkuu au abaki. Iko hivi ndugu zangu kule Instagram na tiktok Hakuna cha mana Zaid ya umbea wa mangekimambi na baba Levo

Unakuta janaume Zima namandevu lina login Instagram account, huko tiktok ndobala majungu na unafiki tu mbaya zaidi nao wanarekodi video wanakula chips Yai huku wakilamba lipsi kama mademu vile

Kizazi kinapotea wanaume tumebaki wachache ndugu zanguni, tuombe Mungu
Wee naye umezidi
 
Hizo ni platforms na watu wengi (pamoja na mimi). Tunazitumia kutangaza kazi zetu.

So tuache kwa sababu Mange Kimambi na Baba Levo wamevamia?

Screenshot_2022-12-23-20-58-59-477_com.instagram.android.jpg

Screenshot_2022-12-23-20-58-18-134_com.zhiliaoapp.musically.jpg
 
Naingi TikTok kwa ajiri ya kufurahi na toka nianze kuitumia haija nihasiri na chochote na haijanipotezea mda wowote kingine usipenda kuwapngia watu life style yake ya maisha Kila mtu na simu yake bando lake pesa yake so acha kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu
 
😂😂😂daaah kuna mtu kupitia tiki tok anaingiza mkwanja merefu sana kupitia video fupi fupi tu za vutuko Christian Ronaldo analipwa mapesa ya kutosha kupitia matangazo huko Instagram....acha kuwafollow madada powa mkuu
 
Nashangaa mtu anafikiri mitandao ni ya wahuni au wambea
Ni jinsi unavyotaka wewe
Mimi naangalia sana magari mapya, technology zinazotoka kila leo na ubunifu pia kujisomea mengi ya Dunia
Kuna hata kufuatilia wahubiri na hata gardening au buildings na architectural

Mtu kama hajui kuwa yote hayo na chochote anachopendelea anapata kwenye mitandao basi atakuwa hajui na akijifanya anajua

Kuna mengi sana ya kujifunza na kuangalia kwenye insta na tiktok maana wabunifu na hata wafanyabiashara wengi sana wamo

Kuna mapishi na mengi ya kujifunza sio udangaji
Kuna kitu watu hawajui social media huwa zinakuletea vitu kutokana na vile unavopenda. Mfano unapenda umbea unafungua kila saa.
 
Back
Top Bottom