Mwanaume anaetumia TikTok na Instagram huwa napata mashaka na jinsia yake

Mwanaume anaetumia TikTok na Instagram huwa napata mashaka na jinsia yake

Mtasema nifate maisha yangu hilo naunga mkono ila ushauri ni kitu muhimu na haukwepeki ndio mana Elon na utajiri wake ameomba ushauri ajihuzuru utendaji mkuu au abaki. Iko hivi ndugu zangu kule Instagram na tiktok Hakuna cha mana Zaid ya umbea wa mangekimambi na baba Levo

Unakuta janaume Zima namandevu lina login Instagram account, huko tiktok ndobala majungu na unafiki tu mbaya zaidi nao wanarekodi video wanakula chips Yai huku wakilamba lipsi kama mademu vile

Kizazi kinapotea wanaume tumebaki wachache ndugu zanguni, tuombe Mungu
Huwa siwezi kufungua Instagram mbele za watu had niwe chumbani ndio nitapitia vinginevyo mm Ni jf na mm au Sana Twitter Tena uko kucheki clubhouse tu

Instagram na tiktok hpn kwa kweli

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Inategemea na wewe unaitumiaje na watu ulio wa follow binafsi Instagram naitumia sana kwny biashara inA nisaidia sana yaan bora ungesema labda snapchatt ndoo mm naonaga upuuzi
 
Hapa umeonyesha jinsi ulivyo mweupe kuhusiana na hizo platforms.

Hizi platform hua zinakupa unachotafuta.

Kama wewe ulienda na kianza kutafuta umbea basi utaupata mwingi sana utaletewa content zote zinazohusiana au kulekea kua za umbea umbea
 
Back
Top Bottom