Mwanaume anaetumia TikTok na Instagram huwa napata mashaka na jinsia yake

Jumlisha ba snap chat hapo
 
Nipo insta..sifuatilii maisha ya mtu personal..sometimes tunahitaj kurefresh na clip za vichelekesho,kufuatilia spiritual contents,update mbalimbali kulingana na interest ya mtu.Usilinganishe insta na vitu vya ajabu😁
Afu hizo mitandao Ni tofauti kabisa

Insta, Twitter,tiktok, Facebook Ni tofaut kabisa nashangaa mtu anajiona kakua et hatumii fb kahamia insta,


Insta Ni lini mjadala umeanzishwa na ukaendelea kuwepo for days na notification ukapata ,
 
Yaani Hili jamaa ni lijinga sijawahi kukutana na ujinga km wake duniani.
Wenzie wanaingiza hela yeye amekalia kuponda kila kitu.

Hata hao wanawake wanaingiza hela pia sio wote wanaringishiana maisha.
 
Yaani Hili jamaa ni lijinga sijawahi kukutana na ujinga km wake duniani.
Wenzie wanaingiza hela yeye amekalia kuponda kila kitu.

Hata hao wanawake wanaingiza hela pia sio wote wanaringishiana maisha.
Wacha weee
 
The mpwayungu village is back! πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kuna jamaa flan wa interior design na wale wafuga samaki wapo Insta huko..hahaha moja nime apply pahala fundi kakimbia...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€mbele watu wanajenga Nyumba aiseee....
 
Binafsi nikiona mtu anaejitambulisha ni mwanaume na alihudhuria shule, ila hawezi kuandika lugha adhimu ya Kiswahili napata shaka sana na jinsia yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…