Mwanaume anaetumia TikTok na Instagram huwa napata mashaka na jinsia yake

Labda Tiktok siwezi kutolea maoni kwa sababu sijawahi kutumia ila insta iko vizuri kea habari na updates za haraka hata madini sometimes na hayo yanategemea umewafollow watu wapi . Mimi mwaka juzi niliwaunfollow wakina page zote zisizo na mantiki na za hovyo sasa ninaenjoy Insta japo kuingia sio mara kwa mara sana.
 
Wee naye umezidi
 

Hizo ni platforms na watu wengi (pamoja na mimi). Tunazitumia kutangaza kazi zetu.

So tuache kwa sababu Mange Kimambi na Baba Levo wamevamia?



 
Naingi TikTok kwa ajiri ya kufurahi na toka nianze kuitumia haija nihasiri na chochote na haijanipotezea mda wowote kingine usipenda kuwapngia watu life style yake ya maisha Kila mtu na simu yake bando lake pesa yake so acha kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu
 
😂😂😂daaah kuna mtu kupitia tiki tok anaingiza mkwanja merefu sana kupitia video fupi fupi tu za vutuko Christian Ronaldo analipwa mapesa ya kutosha kupitia matangazo huko Instagram....acha kuwafollow madada powa mkuu
 
Kuna kitu watu hawajui social media huwa zinakuletea vitu kutokana na vile unavopenda. Mfano unapenda umbea unafungua kila saa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…