Mwanaume anaetumia TikTok na Instagram huwa napata mashaka na jinsia yake

Huwa siwezi kufungua Instagram mbele za watu had niwe chumbani ndio nitapitia vinginevyo mm Ni jf na mm au Sana Twitter Tena uko kucheki clubhouse tu

Instagram na tiktok hpn kwa kweli

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Inategemea na wewe unaitumiaje na watu ulio wa follow binafsi Instagram naitumia sana kwny biashara inA nisaidia sana yaan bora ungesema labda snapchatt ndoo mm naonaga upuuzi
 
Hapa umeonyesha jinsi ulivyo mweupe kuhusiana na hizo platforms.

Hizi platform hua zinakupa unachotafuta.

Kama wewe ulienda na kianza kutafuta umbea basi utaupata mwingi sana utaletewa content zote zinazohusiana au kulekea kua za umbea umbea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…