Mwanaume anapofanya mapenzi na side chick, huwa anahisi kama akiwa na mpenzi wake wa kweli?

Strong and Fearless

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2017
Posts
895
Reaction score
2,218
Wanaume wengi wanapokuwa na “side chick” huvaa full romantic mode — kumuwekea mto, kwenda “down”, kuhakikisha yupo comfortable… na wengine hadi wanacuddle baada ya tendo!
Lakini huyu si wake halali, wala hamchukulii serious.

Swali ni moja:
Je, mwanaume akiwa na side chick, huwa anahisi kitu?
Au ni mwili tu — no feelings kabisa?
Na akiwa na mpenzi wake wa kweli, huwa tofauti gani kwenye sex na intimacy?

Wanaume — tuambieni ukweli wenu.
Je, huwa mnacuddle na side chick? Mnapendea nini zaidi kwa side kuliko kwa serious girlfriend?
Wanawake — mmewahi kugundua tofauti? Kuna ambaye alikuwa anakujali sana kitandani, lakini hakuwahi kukupenda kweli?
 
Hapo kuna scenario nyingi mandhali umesema tufunguke ukweli wa moyoni naweza kukupa sababu zifuatazo.

1: Uumbaji
Hapa haijalishi utaoa mwanamke mzuri wa aina gani but kuna wanawake tu watakuwa ni wazuri kushinda mkeo ambao uliwaona ama utawaona baada ya kuoa,i hope hapa hakuna haja ya kueleza utajiskiaje kufanya mapenzi na mwanamke aliyemzidi mkeo kwa kila sifa.

2:UTULIVU WA NAFSI.
Hapa mjomba usishangae mwanaune akamuacha mkewe masaki akavurugwa na mwanamke wa tandale,sababu tu ya kupata utulivu.hapa unakuta mchepuko ana heshima kama zote,kitandani yuko vizuri,kauli nzuri na care nzuri na hapa unakuta hata hizo hela zenyewe ahongwi za maana lakini ndipo mwanamume anapojipatia utulivu.akirudi nyumbani akifungua tu mlango makelele yanaanza.

3: MAZOEA
Hapa ndipo dada zetu wengi wanapofeli kwa kuishi na wanaume zao kwenye ndoa kwa mazoea kuanzia usafi,mpaka kitandani,unajikuta unafanya mapenzi na mkeo amekaa kama gogo na hata ukichelewa usije kushangaa ukasukumwa hukoo

So mara nyingi wanaume kuchepuka hasa walio kwenye ndoa sababu kubwa huwaga ni wake zao mbali ya tamaa
 
Chicken side= side chick
 
😅😅😅😅hampendi ee?
Ukweli tu dada zangu inabidi mjue katika vitu ambavyo wanaume hauvipend basi ni makelele ndani ya nyumba na vituko.

Kama mimi kwa siku naweza kuongea mara 5 tu labda niwe nataka huduma dukani etc.

Sasa nikioa radio mbao unafkiri ntakaa na wew?
 
Ukivaa ngua yako ya muda mrefu unayopenda kuvaa mara kwa mara unajisikiaje?

Ukivaa nguo yako mpyaaa nzuri uliyoibahatisha mtumbani unajisikiaje?
 
Yule msukuma sijui alikuwa anaogopa kucheat au ananiogopa Mimi

First time tumeenda hotel nzuri high standards kagharamia mwenyewe
Ila hakunikiss na mimi sikuonesha kutaka kiss na hata kunikumbatia hakuweza

Mara ya pili akanikisi na kunikumbatia
Mara ya 3 na ya 4 ni kama hiyo ya 2 basi bhn ndio hivyo
Sema first time nilijisikia vibaya sana why no romance no hugs

Sijui nimeandika upuuzi gani
 
Wanaume wengi wanapokuwa na “side chick” huvaa full romantic mode — kumuwekea mto, kwenda “down”, kuhakikisha yupo comfortable… na wengine hadi wanacuddle baada ya tendo!
Lakini huyu si wake halali, wala hamchukulii serious.

Swali ni moja:
Je, mwanaume akiwa na side chick, huwa anahisi kitu?
Au ni mwili tu — no feelings kabisa?
Na akiwa na mpenzi wake wa kweli, huwa tofauti gani kwenye sex na intimacy?

Wanaume — tuambieni ukweli wenu.
Je, huwa mnacuddle na side chick? Mnapendea nini zaidi kwa side kuliko kwa serious girlfriend?
Wanawake — mmewahi kugundua tofauti? Kuna ambaye alikuwa anakujali sana kitandani, lakini hakuwahi kukupenda kweli?
Nifafanulie zaidi, sijaielewa post hii boss LABDA Kwa sababu ya MANENO yalotumika, side chick n.k
 
Hapo kuna scenario nyingi mandhali umesema tufunguke ukweli wa moyoni naweza kukupa sababu zifuatazo.

1: Uumbaji
Hapa haijalishi utaoa mwanamke mzuri wa aina gani but kuna wanawake tu watakuwa ni wazuri kushinda mkeo ambao uliwaona ama utawaona baada ya kuoa,i hope hapa hakuna haja ya kueleza utajiskiaje kufanya mapenzi na mwanamke aliyemzidi mkeo kwa kila sifa.

2:UTULIVU WA NAFSI.
Hapa mjomba usishangae mwanaune akamuacha mkewe masaki akavurugwa na mwanamke wa tandale,sababu tu ya kupata utulivu.hapa unakuta mchepuko ana heshima kama zote,kitandani yuko vizuri,kauli nzuri na care nzuri na hapa unakuta hata hizo hela zenyewe ahongwi za maana lakini ndipo mwanamume anapojipatia utulivu.akirudi nyumbani akifungua tu mlango makelele yanaanza.

3: MAZOEA
Hapa ndipo dada zetu wengi wanapofeli kwa kuishi na wanaume zao kwenye ndoa kwa mazoea kuanzia usafi,mpaka kitandani,unajikuta unafanya mapenzi na mkeo amekaa kama gogo na hata ukichelewa usije kushangaa ukasukumwa hukoo

So mara nyingi wanaume kuchepuka hasa walio kwenye ndoa sababu kubwa huwaga ni wake zao mbali ya tamaa
Nashukuru kwa kuchangia, lakini mada yangu haikuwa kuhusu kwa nini wanaume huchepuka, bali ilikuwa kuuliza kama mwanaume anapofanya mapenzi na side chick, huwa kuna tofauti yoyote ya hisia au jitihada ikilinganishwa na anapokuwa na mpenzi wake wa kweli au mke anayempenda. Yaani, je huwa wanajituma zaidi, wanacuddle zaidi, wanakuwa more gentle au ni the same? Hapo ndipo nilitaka perspective za wanaume.
 
Ukivaa ngua yako ya muda mrefu unayopenda kuvaa mara kwa mara unajisikiaje?

Ukivaa nguo yako mpyaaa nzuri uliyoibahatisha mtumbani unajisikiaje?
😂😂😅 ila hiyo nguo mpya mara nyingi huwa ni tight, haijakaa sawa, na ukivaa mara mbili tu inachoka. Wakati ile ya zamani ndiyo laini, inajulikana na mwili vizuri. Je, kweli hiyo mpya ni bora au ni excitement ya muda tu?
 
Back
Top Bottom