Mwanaume anapofanya mapenzi na side chick, huwa anahisi kama akiwa na mpenzi wake wa kweli?

Mwanaume anapofanya mapenzi na side chick, huwa anahisi kama akiwa na mpenzi wake wa kweli?

Yule msukuma sijui alikuwa anaogopa kucheat au ananiogopa Mimi

First time tumeenda hotel nzuri high standards kagharamia mwenyewe
Ila hakunikiss na mimi sikuonesha kutaka kiss na hata kunikumbatia hakuweza

Mara ya pili akanikisi na kunikumbatia
Mara ya 3 na ya 4 ni kama hiyo ya 2 basi bhn ndio hivyo
Sema first time nilijisikia vibaya sana why no romance no hugs

Sijui nimeandika upuuzi gani
Aisee umetoa point nzuri sana! Hii inadhihirisha kuwa hata ukiwa na mtu anayeweza kugharamia kila kitu, kama hakuna ile effort ya romance au intimacy, inabaki kuwa tupu. Unajua wengine huwa wanakosa emotional connection hata kama wanapenda—labda ni uoga, mazoea au hawajui jinsi ya kuonesha. Wewe ulijisikiaje baada ya mara ya tatu na ya nne, kama romance ilikuwa ipo kiasi?
 
😂😂😅 ila hiyo nguo mpya mara nyingi huwa ni tight, haijakaa sawa, na ukivaa mara mbili tu inachoka.
Kuijaribisha huwa ni bure kama sikosei😂

Ila, kama umegundua umesalitiwa, na hutaki kusamehe, usisamehe tu.

Ile nadharia ya kwamba wanaume huchepuka kingono tu na wanawake huchepuka kihisia mimi huwa siiamini.

Jamii inakandamiza wanaume kuonesha hisia zao kama inavyokandamiza wanawake wasiwe huru kingono.

Kwahiyo tafuta sababu nyingine za kusamehe na sio zile za "ulikuwa unampenda?"

Sijui nimetoka nje ya mada....
 
Nashukuru kwa kuchangia, lakini mada yangu haikuwa kuhusu kwa nini wanaume huchepuka, bali ilikuwa kuuliza kama mwanaume anapofanya mapenzi na side chick, huwa kuna tofauti yoyote ya hisia au jitihada ikilinganishwa na anapokuwa na mpenzi wake wa kweli au mke anayempenda. Yaani, je huwa wanajituma zaidi, wanacuddle zaidi, wanakuwa more gentle au ni the same? Hapo ndipo nilitaka perspective za wanaume.
Kula ugali leo, kesho kula tena, keshokutwa kula tena, na ile nyingine kula tena . Then acha usile ugali mwezi mzima afu siku moja ule ugali. Ni just upya tu kuna filling flan . Laikin usinzi ni dhambi
 
Kuijaribisha huwa ni bure kama sikosei😂

Ila, kama umegundua umesalitiwa, na hutaki kusamehe, usisamehe tu.

Ile nadharia ya kwamba wanaume huchepuka kingono tu na wanawake huchepuka kihisia mimi huwa siiamini.

Jamii inakandamiza wanaume kuonesha hisia zao kama inavyokandamiza wanawake wasiwe huru kingono.

Kwahiyo tafuta sababu nyingine za kusamehe na sio zile za "ulikuwa unampenda?"

Sijui nimetoka nje ya mada....
Hakuna mwenye jibu maana hakuna aliyewahi kuwa mwanaume na kisha kuwa mwanamke. Ila wanawake wanachepuka kuliko Sisi🤣
 
Aisee umetoa point nzuri sana! Hii inadhihirisha kuwa hata ukiwa na mtu anayeweza kugharamia kila kitu, kama hakuna ile effort ya romance au intimacy, inabaki kuwa tupu. Unajua wengine huwa wanakosa emotional connection hata kama wanapenda—labda ni uoga, mazoea au hawajui jinsi ya kuonesha. Wewe ulijisikiaje baada ya mara ya tatu na ya nne, kama romance ilikuwa ipo kiasi?
Nilijisikia vibaya sana nikajihisi maybe nina nuka au nini,,, nikaja kugundua we have no chemistry we just forcing na kitu mimi siwezi ni kumwambia mwanaume nifanye hivi kama hajiongezi na mimi navunga
 
Back
Top Bottom