Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 895
- 2,218
😜Kikubwa isimame tu hayo mengine ni mbwembwe.
😅😅😅😅hampendi ee?akirudi nyumbani akifungua tu mlango makelele yanaanza.
Chicken side= side chickWanaume wengi wanapokuwa na “side chick” huvaa full romantic mode — kumuwekea mto, kwenda “down”, kuhakikisha yupo comfortable… na wengine hadi wanacuddle baada ya tendo!
Lakini huyu si wake halali, wala hamchukulii serious.
Swali ni moja:
Je, mwanaume akiwa na side chick, huwa anahisi kitu?
Au ni mwili tu — no feelings kabisa?
Na akiwa na mpenzi wake wa kweli, huwa tofauti gani kwenye sex na intimacy?
Wanaume — tuambieni ukweli wenu.
Je, huwa mnacuddle na side chick? Mnapendea nini zaidi kwa side kuliko kwa serious girlfriend?
Wanawake — mmewahi kugundua tofauti? Kuna ambaye alikuwa anakujali sana kitandani, lakini hakuwahi kukupenda kweli?
Ukweli tu dada zangu inabidi mjue katika vitu ambavyo wanaume hauvipend basi ni makelele ndani ya nyumba na vituko.😅😅😅😅hampendi ee?
Sema neno moja tu na roho yangu itapona mamy😅
Hapo uliposema ili mradi Inini hapo 🔨😊Sema neno moja tu na roho yangu itapona mamy😅
Sasa unagongelea kwanini? Au mnapendwa mdanganywe?Hapo uliposema ili mradi Inini hapo 🔨😊
Napenda kufanya utalii wa macho 😅😅😅 kujionea uumbaji wa Mungu 😜😜😜Sasa unagongelea kwanini? Au mnapendwa mdanganywe?
Kikubwa isimame na ikisimama panda, OVER😅
Njoo uufanyie hukuNapenda kufanya utalii wa macho 😅😅😅 kujionea uumbaji wa Mungu 😜😜😜
Kuna utofauti gani huko 😅😅😅Njoo uufanyie huku
Njoo ujionee mwenyewe yaliyomo yamoKuna utofauti gani huko 😅😅😅
Mfano kuna hifadhi zina Simba wa kupanda miti, nyingine Tembo ni wengi
Nipe upekee wa huko
Nifafanulie zaidi, sijaielewa post hii boss LABDA Kwa sababu ya MANENO yalotumika, side chick n.kWanaume wengi wanapokuwa na “side chick” huvaa full romantic mode — kumuwekea mto, kwenda “down”, kuhakikisha yupo comfortable… na wengine hadi wanacuddle baada ya tendo!
Lakini huyu si wake halali, wala hamchukulii serious.
Swali ni moja:
Je, mwanaume akiwa na side chick, huwa anahisi kitu?
Au ni mwili tu — no feelings kabisa?
Na akiwa na mpenzi wake wa kweli, huwa tofauti gani kwenye sex na intimacy?
Wanaume — tuambieni ukweli wenu.
Je, huwa mnacuddle na side chick? Mnapendea nini zaidi kwa side kuliko kwa serious girlfriend?
Wanawake — mmewahi kugundua tofauti? Kuna ambaye alikuwa anakujali sana kitandani, lakini hakuwahi kukupenda kweli?
Nashukuru kwa kuchangia, lakini mada yangu haikuwa kuhusu kwa nini wanaume huchepuka, bali ilikuwa kuuliza kama mwanaume anapofanya mapenzi na side chick, huwa kuna tofauti yoyote ya hisia au jitihada ikilinganishwa na anapokuwa na mpenzi wake wa kweli au mke anayempenda. Yaani, je huwa wanajituma zaidi, wanacuddle zaidi, wanakuwa more gentle au ni the same? Hapo ndipo nilitaka perspective za wanaume.Hapo kuna scenario nyingi mandhali umesema tufunguke ukweli wa moyoni naweza kukupa sababu zifuatazo.
1: Uumbaji
Hapa haijalishi utaoa mwanamke mzuri wa aina gani but kuna wanawake tu watakuwa ni wazuri kushinda mkeo ambao uliwaona ama utawaona baada ya kuoa,i hope hapa hakuna haja ya kueleza utajiskiaje kufanya mapenzi na mwanamke aliyemzidi mkeo kwa kila sifa.
2:UTULIVU WA NAFSI.
Hapa mjomba usishangae mwanaune akamuacha mkewe masaki akavurugwa na mwanamke wa tandale,sababu tu ya kupata utulivu.hapa unakuta mchepuko ana heshima kama zote,kitandani yuko vizuri,kauli nzuri na care nzuri na hapa unakuta hata hizo hela zenyewe ahongwi za maana lakini ndipo mwanamume anapojipatia utulivu.akirudi nyumbani akifungua tu mlango makelele yanaanza.
3: MAZOEA
Hapa ndipo dada zetu wengi wanapofeli kwa kuishi na wanaume zao kwenye ndoa kwa mazoea kuanzia usafi,mpaka kitandani,unajikuta unafanya mapenzi na mkeo amekaa kama gogo na hata ukichelewa usije kushangaa ukasukumwa hukoo
So mara nyingi wanaume kuchepuka hasa walio kwenye ndoa sababu kubwa huwaga ni wake zao mbali ya tamaa
😂😂😅 ila hiyo nguo mpya mara nyingi huwa ni tight, haijakaa sawa, na ukivaa mara mbili tu inachoka. Wakati ile ya zamani ndiyo laini, inajulikana na mwili vizuri. Je, kweli hiyo mpya ni bora au ni excitement ya muda tu?Ukivaa ngua yako ya muda mrefu unayopenda kuvaa mara kwa mara unajisikiaje?
Ukivaa nguo yako mpyaaa nzuri uliyoibahatisha mtumbani unajisikiaje?