mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 3,074
- 6,472
baba yako unamuhudumia kama unavyo muhudumia mkeo? Kama si unapeleka sukari na sabun kwa mwez mara moja? Au umewaacha wanateseka kijijin we unaponda raha na mkeo au hujaoa kabisaAkili za kitoto! We are all investors. Tunapanda ili baadaye tuvune. Kama huwezi kuvuna, yanini kupoteza fedha? Hizo pesa ambazo ulitakiwa kuenjoy uzeeni ndizo unatumia kuinvest kwa mtoto. Acheni akili za kijinga