baba yako unamuhudumia kama unavyo muhudumia mkeo? Kama si unapeleka sukari na sabun kwa mwez mara moja? Au umewaacha wanateseka kijijin we unaponda raha na mkeo au hujaoa kabisaAkili za kitoto! We are all investors. Tunapanda ili baadaye tuvune. Kama huwezi kuvuna, yanini kupoteza fedha? Hizo pesa ambazo ulitakiwa kuenjoy uzeeni ndizo unatumia kuinvest kwa mtoto. Acheni akili za kijinga
Jaribu kumuelewa basi, Kwan hakuna wanaoinvest na wasipate faida??, Binafsi nimemuelewa saana wape malezi mazuri watoto ila usitegemee chcht kutoka kwao na ikitokea wamekusaidia basi shukur mungu,Akili za kitoto! We are all investors. Tunapanda ili baadaye tuvune. Kama huwezi kuvuna, yanini kupoteza fedha? Hizo pesa ambazo ulitakiwa kuenjoy uzeeni ndizo unatumia kuinvest kwa mtoto. Acheni akili za kijinga
Kitu hujui acha! Sisi tulikuwa tunataniwa miaka hiyo tulipokuwa Sekondari kuwa tumetumwa na kijiji. Ni kweli hata mpaka leo tumevinyanyua vijiji vyetu kutokana na elimu yetu. Sembuse mzazi. We acha tu. Ila wanetu wanadai tuna wajibu wa kuwatunza hadi tufe!!! Imagine. Hiki ni kizazi sijuibaba yako unamuhudumia kama unavyo muhudumia mkeo? Kama si unapeleka sukari na sabun kwa mwez mara moja? Au umewaacha wanateseka kijijin we unaponda raha na mkeo au hujaoa kabisa
Issue ni mindset inayonisumbua. Mpaka sasa kwa upande wangu simtegemei mtoto, ila inaboa mtoto kutokuwa na shukraniJaribu kumuelewa basi, Kwan hakuna wanaoinvest na wasipate faida??, Binafsi nimemuelewa saana wape malezi mazuri watoto ila usitegemee chcht kutoka kwao na ikitokea wamekusaidia basi shukur mungu,
Mfano mzuri Ni wew mwenyew ukute unatumbua tu mivitu huko uliko ila ukute una miezi mitatu hujamjulia hali baba ako
Umtegemee mwanao akifa kabla yako itakuwaje?Mwanaume tafuta pesa kwa bidii, wape watoto elimu bora, wape mahitaji yao muhimu, jenga nyumba nzuri waishi vizuri, lakini ukizeeka usitegemee lolote kutoka kwa wanao.
Enjoy maisha ya uzee kwa pesa zako mwenyewe ulizochuma ujanani.
Wewe nakubaliana na hoja zako. You have to invest ili baadaye upate mavuno au usipate pia kwa bahati mbaya. Kama hukulima huwezi kuvuna. Utavuna nini? Issue si kuzaa bali ni kuzaa na kuhakikisha unamtunza mtoto, unampeleka shule kulingana na uwezo (kwa kuuza asset au kufanya vibarua, si wakati mtoto anahitaji daftari wewe baba unadai huna ingawa jioni unarudi umelewa) hiyo ndiyo investment kwa mtoto ninayosema.Kuna wazee wanaomba pesa Kwa watoto wakati alipokea mafao na hukuwapa hata Senti Moja watoto na mafao yote Kwisha. Watoto pia wanafamilia na wanamajukumu ya kipesa. Mzazi anakuwa anasumbua watoto wakati hakujiandaa na maisha ya uzeeni. Tengeneza maisha Yako bila kuja kutegemea watoto wakuletee chakula. Wengi hujisahau na kuona kuwa akipata pesa ya mafao ndiyo ataanza kuwekeza. Wekeza ukiwa Bado kwenye mzunguko wa pesa. Unakuta mtu anajenga nyumba ya kwenye kiwanja Cha 20 Kwa 20 na Hana hata uwezo wa kulima mchicha. Tafuta shamba kubwa nje ya mji au kijijini Anza kuwekeza kidogo kidogo mifugo na kilimo na siku ukistaafu unakwenda kuishi huku. Huwezi kutegemea kulishwa na watoto.
Issue hapa napingana na mtoa mada anaposemaUmtegemee mwanao akifa kabla yako itakuwaje?
Wanakula Mbususu tu na kupiga GambeMleta mada yuko sahihi anamaanisha wale Watoto ambao wakishakuwa na Pesa hawajali Baba zao.
Wewe ni utakuwa baba msumbufu uzeeni... huwezi sema unaivest Kwa mtoto, mtoto ni jukumu lako la lazima,maana ulimleta Kwa Raha zako...Akili za kitoto! We are all investors. Tunapanda ili baadaye tuvune. Kama huwezi kuvuna, yanini kupoteza fedha? Hizo pesa ambazo ulitakiwa kuenjoy uzeeni ndizo unatumia kuinvest kwa mtoto. Acheni akili za kijinga
Kwa Nini umtegemee mtoto acheni zenu bwana nyie ndio mnakuwa wazee wasumbufu mkiendekeza hayo mawazo,andaa vitega uchumi vyako mtoto umtegemee akupe msaada wa Hali sio mali...Hivi hamuoni wenzetu kina Mo Dewji wanavyoenjoy kisa kuwa na Babu wenye akili ,,, acheni mawazo ya kizembe eti nizae watoto wengi Ili nipate wa kunisaidia uzeeni!hayo ni mawazo duni sanaIssue hapa napingana na mtoa mada anaposema
==Mwanaume tafuta pesa kwa bidii, wape watoto elimu bora, wape mahitaji yao muhimu, jenga nyumba nzuri waishi vizuri, == mpaka hapa ni sawa! Huo ndiyo uanaume.
Nampinga kwa nguvu zote kuanzia hapa lakini ukizeeka usitegemee lolote kutoka kwa wanao. Hasa neno USITEGEMEE. Investment ni risk inajulikana na ndiyo maana unazaa watoto wengi ili angalau upate wa kukufaa.
Kwa bahati mbaya nina wajukuuKwa Nini umtegemee mtoto acheni zenu bwana nyie ndio mnakuwa wazee wasumbufu mkiendekeza hayo mawazo,andaa vitega uchumi vyako mtoto umtegemee akupe msaada wa Hali sio mali...Hivi hamuoni wenzetu kina Mo Dewji wanavyoenjoy kisa kuwa na Babu wenye akili ,,, acheni mawazo ya kizembe eti nizae watoto wengi Ili nipate wa kunisaidia uzeeni!hayo ni mawazo duni sana
Pole yao.Kwa bahati mbaya nina wajukuu
Neno mkuu💪Na huo ndio ukweli sasa ninyi endeleeni kukataa ndoa na kujaza single mothers mitaani mkifikiri mnawakomoa wanawake, fainali uzeeni mwisho wa siku mama atabaki na watoto wake watamlea wakati baba atabaki na malaya wake aliokuwa anawanunua, mnaacha kutulia na familia zenu na kuwapa muda wake zenu na watoto wenu mnajikuta miamba kuzini na malaya na kulewa na washkaji kila siku