Mwanaume asie na uwezo wa kupata mtoto anahitajika

Mwanaume asie na uwezo wa kupata mtoto anahitajika

Stel

Member
Joined
Apr 8, 2024
Posts
14
Reaction score
64
Habari! Mimi pia nina changamoto ya hii.hivyo nimekuja hapa serious kama kuna mwanaume anauhakika anapito hili ambalo kiuhalisia linaumiza sana.

lakini binafsi kisaikolojia nimepona nahitaji mwenza.nina miaka 41, nina degree.mume awe mcha Mungu,kiuchumi vizuri,.ndugu zangu ukiwa na changamoto hii na uchumi duni niwe muwazi ni changamoto juu ya changamoto.

Kwa anaepitia atanielewa.asanteni.kwa aliyekuwa serious ni dm
 
Habari! Mimi pia nina changamoto ya hii.hivyo nimekuja hapa serious kama kuna mwanaume anauhakika anapito hili ambalo kiuhalisia linaumiza sana.lakini binafsi kisaikolojia nimepona nahitaji mwenza.nina miaka 41, nina degree.mume awe mcha mungu,kiuchumi vizuri,.ndugu zangu ukiwa na changamoto hii na uchumi duni niwe muwazi ni changamoto juu ya changamoto.kwa anaepitia atanielewa.asanteni.kwa aliyekuwa serious ni dm
Samahani from the experience hakuna mwanaume mwenye changamoto ya kupata mtoto. Ni uaminifu wa mwanamke tu.
 
Back
Top Bottom