MKAKA HALISI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 715
- 1,423
Unauhakika umepambana mpaka imeshindikana kubeba mimba?
NdioUnauhakika umepambana mpaka imeshindikana kubeba mimba?
Umejaribu IVF?Ndio
Hapana,nikipata mme ambae yupo tayari kwa njia hii ,sawa maana kizazi kipo Sawa doctor alihakikishaUmejaribu IVF?
Mimi nina watoto, ila nataka mke asiyezaa. Kwa umri wangu sihitaji kupata watoto maana muda wa kuwalea umepita. Vipi njoo pm.Habari! Mimi pia nina changamoto ya hii.hivyo nimekuja hapa serious kama kuna mwanaume anauhakika anapito hili ambalo kiuhalisia linaumiza sana.
lakini binafsi kisaikolojia nimepona nahitaji mwenza.nina miaka 41, nina degree.mume awe mcha Mungu,kiuchumi vizuri,.ndugu zangu ukiwa na changamoto hii na uchumi duni niwe muwazi ni changamoto juu ya changamoto.
Kwa anaepitia atanielewa.asanteni.kwa aliyekuwa serious ni dm
Ok,ugumba unaweza kuwa na kizazi safi ila mirija inashida au hormone imbalance,ukajikuta huwezi zaa.Bado hujaolewa je umejuaje kama tatizo limeisha?
Kwa hiyo ni heri upate mwanaume mwenye uwezo wa kupata mtoto kwani mbegu zake ndio zitatumika kwenye huo mchakato wa IVF.Hapana,nikipata mme ambae yupo tayari kwa njia hii ,sawa maana kizazi kipo Sawa doctor alihakikisha
Asante kwa mchango wako,hata akipatikana ambae yupo interested na njia hii sawa.mimi nipo tayari.Kwa hiyo ni heri upate mwanaume mwenye uwezo wa kupata mtoto kwani mbegu zake ndio zitatumika kwenye huo mchakato wa IVF.
Usikate tamaa, utapata tu.Asante kwa mchango wako,hata akipatikana ambae yupo interested na njia hii sawa.mimi nipo tayari.
AsanteInaumiza kwa kweli mungu akutangulie sister
mie ni Baba Sabuni, jasusi la Mvutidronedrake Baba Angela Jasusi la Kyela.
Kazi kwako
We uwezo pekee ulionao ni kushikishwa Bafu Mimba.mie ni Baba Sabuni, jasusi la Mvuti
mimi ni mkwea mnaziWe uwezo pekee ulionao ni kushikishwa Bafu Mimba.
Haya Sasa Mchumba kajileta.View attachment 3359809
Salio SI lipo Fresh Anko ?.mimi ni mkwea mnazi
ah wapi, fundi mchundo wa umeme mie kwa mwezi nakunja 300k tekhomSalio SI lipo Fresh Anko ?.
Namba A hiyo, wakati BabyCare namba E kila sikuChukua Mchumba Zero KM hiyo.