Mwanaume asie na uwezo wa kupata mtoto anahitajika

Mwanaume asie na uwezo wa kupata mtoto anahitajika

Pole sana kwa changamoto ya kibinadamu.

Mimi KAZI yangu kubeti

Sina hiyo changamoto kwa kweli suala la kupiga Pumbu na kuzalisha watoto kama mchina hapa ndiyo mahala pake JE upo tayali na Kuwa na Mimi ?!!!
 
Sasa wewe unachangamoto ya kupata mtoto si utafute tu ambaye hana changamoto hiyo huwezijua miujiza hutokea unaweza ukanasa kwa neema ya Mungu
Mh! Mpaka kaja hapa ina maana ana uhakika haiwezekanini tena mfano kibebeo kimetolewa kabisa! Tumple pole tu! Ila Tanzania tujenge utamaduni wa kuasili watoto wapo wengi tu huko vutuo vya kulelea watoto
 
Habari! Mimi pia nina changamoto ya hii.hivyo nimekuja hapa serious kama kuna mwanaume anauhakika anapito hili ambalo kiuhalisia linaumiza sana.

lakini binafsi kisaikolojia nimepona nahitaji mwenza.nina miaka 41, nina degree.mume awe mcha Mungu,kiuchumi vizuri,.ndugu zangu ukiwa na changamoto hii na uchumi duni niwe muwazi ni changamoto juu ya changamoto.

Kwa anaepitia atanielewa.asanteni.kwa aliyekuwa serious ni dm
Ila watu jaribu umbume wako
 
Back
Top Bottom