Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
Achaneni na hizi propaganda za mwaka 47 dunia ya leo hazifanyi kazi kwa hawa wanawake waliosoma na kuelimika mkuu hawa siyo kama bibi zetu waliodanganywa kirahisi in the name of mila na desturi, ni kama zile za wazee wetu kusema mwanamke akizaa watoto wa kike ni kosa lake lakini baadaye sayansi ikaja kuthibitisha kwamba mbegu za baba ndio huamua jinsia ya mtoto na si mayai ya mama, wanaume wagumba wapo wengi tu duniani acheni kutafuta visingizio vya kipumbavu vya kutaka kuwaangushia lawama zote wanawake ili wanaume muonekane innocent siku zoteSamahani from the experience hakuna mwanaume mwenye changamoto ya kupata mtoto. Ni uaminifu wa mwanamke tu.