Pole sana Dada angu, lakini ungetafuta mwanaume yeyote tu ambaye ataweza kukuvumilia na kukupenda kwa dhati.Habari! Mimi pia nina changamoto ya hii.hivyo nimekuja hapa serious kama kuna mwanaume anauhakika anapito hili ambalo kiuhalisia linaumiza sana.
lakini binafsi kisaikolojia nimepona nahitaji mwenza.nina miaka 41, nina degree.mume awe mcha Mungu,kiuchumi vizuri,.ndugu zangu ukiwa na changamoto hii na uchumi duni niwe muwazi ni changamoto juu ya changamoto.
Kwa anaepitia atanielewa.asanteni.kwa aliyekuwa serious ni dm
Ukitafuta mwenye tatizo kama la kwako hakutakuwa na wa kumliwaza mwenzie halafu pia unaweza kutokea muujiza ukapata mtoto maana umri bado na pia mwanaume mwenye uwezo hawezi kukosa mtoto labda awe hataki tu maana wapo wanawake wengi wanawahitaji na wanawafichia siri zao ilimradi tu watoto wao wapate maisha mazuri.