Mwanaume asie na uwezo wa kupata mtoto anahitajika

Mwanaume asie na uwezo wa kupata mtoto anahitajika

Kuwa makini saana unavyokitamka kigezo cha uchumi kisaikolojia inaweza pelekea kufanya ubongo wa mwaume kujua kuwa unatamaa
 
mume awe mcha Mungu,kiuchumi vizuri,.ndugu zangu ukiwa na changamoto hii na uchumi duni niwe muwazi ni changamoto juu ya changamoto.
Unasema MTU awe kiuchumi vizuri..Unwexakutueleza mhusika uchumi uwe level ipi?

Stel
Je wewe binafsi kiuchumi uko vizuri? au bado ni tegemezi kuwa mume ndio anapswa kuwa vizuri kiuchumi?> Je ikiwa kinyume chake Je hakina upendo hapo? au utakuwepo?

Weka vizuri hili swala.
 

Stel
Je wewe binafsi kiuchumi uko vizuri? au bado ni tegemezi kuwa mume ndio anapswa kuwa vizuri kiuchumi?> Je ikiwa kinyume chake Je hakina upendo hapo? au utakuwepo?

Weka vizuri hili swala.
Nianze kwa kukushukuru kwa mchango wako,naamini huna changamoto ya kupata mtoto,kwa kifupi kukosa nguvu ya kupata mtoto naweza sema ni umaskini pia lakini kwa upande wa watoto,inamaana inaumiza Sana kwanini Mimi nisipate watoto unakuwa unateseka na hata kisaikolojia kuathirika.na mtu wa Hali ya chini kiuchumi anaugua kwa nini Mimi sifanikiwi,kama wengine? anapambana na kuwaza,labda kawekeza mtaji wake kwenye biashara ikafa,huumia Sana kupoteza hata wengine kupata stroke.ila mwisho wa siku hizi zote mbili ni changamoto,hivyo fikiria hizi zote changamoto zimpate mtu mmoja ni hatari,.huu ndio mtazamo wangu kuepuka kuongeza tatizo la kiuchumi juu ya tatizo la kuto kupata mtoto.asante
 
Back
Top Bottom