Samahani from the experience hakuna mwanaume mwenye changamoto ya kupata mtoto. Ni uaminifu wa mwanamke tu.Habari! Mimi pia nina changamoto ya hii.hivyo nimekuja hapa serious kama kuna mwanaume anauhakika anapito hili ambalo kiuhalisia linaumiza sana.lakini binafsi kisaikolojia nimepona nahitaji mwenza.nina miaka 41, nina degree.mume awe mcha mungu,kiuchumi vizuri,.ndugu zangu ukiwa na changamoto hii na uchumi duni niwe muwazi ni changamoto juu ya changamoto.kwa anaepitia atanielewa.asanteni.kwa aliyekuwa serious ni dm
AsantePole ,all the Best
Mimi mkristoDuuh Polee....ila Kama muislam ni simple tu,kubali uwe mke mwenza na omba mungu damu ziive na huyu mke/wake wenzio,mtalewa watoto kwa pamoja.
Aisee haya maneno sijayasikia Kwa miaka 16 now kumbe bado yapo.ππMnataka mkafanye tabia mbaya tu... Mama mchungaji Donatila njoo kuna watu wanataka wakafanye matusi ππ
Kaka inahitaji uelewa sana.la sivyo baada ya mda manyanyaso huanza.Sasa wewe unachangamoto ya kupata mtoto si utafute tu ambaye hana changamoto hiyo huwezijua miujiza hutokea unaweza ukanasa kwa neema ya Mungu