Mwanaume asiye na uwezo wa kupata mtoto anahitajika

Sio wabishi, ilimu hiyo ni ilimu ya uzamivu, utafiti na fikra tunduizi kama zote ...hili halimo kwenye normal distribution curve....

wavumilie
Asante kwa kutambua Hilo
Hiyo elimu imefichwa maprofesa wakapewa maskini na wasio na elimu
 
Uibe watoto wa watu huko umpe mwanaume mwingine ila wanawake ni noma
 
Uibe watoto wa watu huko umpe mwanaume mwingine ila wanawake ni noma
Ukimkaba sana bila kumsikiliza changamoto anazopitia inaweza kumpa shida zaidi.

Andiko lake linaakisi kuwa anapitia changamoto kali sana, ni kama mtu amevamiwa, anapiga ukunga kuomba msaada.
 
Na bado mpaka akiri zitawarudi!

Maandiko yanasema:

Isaya 4:1 "na siku hiyo wanawake saba watamshika mwanaume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako...."
Huu unabii ulikuwa hauna uhusiano/haumaanishi wanawake na wanaume, ulikuwa unahusu makanisa na Mungu(Yesu), wanawake wana represent makanisa na mwanaume hapo alikuwa anamrepresent Yesu.
"kula chakula chetu" alikuwa anamaanisha makanisa yatakuwa yanajitafutia mafundisho yake yenyew ambayo hayana msingi wa neno la mungu halisia, kikawaida mwanaume huwa anamtafutia mkewe chakula au chakula kinatoka kwa mume, if otherwise you must put a question mark?
"Tutavaa nguo zetu" alikuwa anamaanisha makanisa watajifunika/watajivika Imani waijuao wao, isiyokuwa na misingi yeyote ya mafundisho ya neno la mungu, narudia tena kikawaida mavazi kama vile chakula hutoka kwa mume, mwanamke sio jukumu lake kujitafutua chakula na mavazi kama vile sio jukumu la kanisa kujitafutia mafundisho yake na imani, hapana inabidi vitoke kwa Mungu.
So nadhani nimejaribu kukuelezea how this prophecy should be interpreted, ila kama unataka utafsiri kama ulivoandika hapo awali ni uamuzi wako ila this is the true meaning of Isaiah's prophecy.
 
Ukimkaba sana bila kumsikiliza changamoto anazopitia inaweza kumpa shida zaidi.

Andiko lake linaakisi kuwa anapitia changamoto kali sana, ni kama mtu amevamiwa, anapiga ukunga kuomba msaada.
Tatizo lipo kwenye hoja yake kuhusu watoto....ana watoto 3 , then anataka mwanaume asiye na watoto/ hawezi kupata watoto ...awe tayari kuwalea( kama wanawe) watoto wake! Hii dhana ni tata na tete! Hao watoto hawana baba ! Hawana ndugu wa baba! Hadi huyu anayetakiwa aingie mazima vile!
Yeye angetafuta Mwenza ambaye anakubaliana na status ya Familia yake Kwa Sasa!
 
Hofu ya Mungu? Wewe mwenyewe ulikuwa na hofu ya Mungu? Naona wewe njaa yako ni kugongwa tu ndiyo maana unatafuta mwenye uwezo huo. Mimi nina 50 natafuta wa kuonja kitumbua njoo PM tuyajenge!
 

Umechambua kama "Messi" wa Barcelona.

Kimsingi hoja hii uliyochambua inaonesha bidada yupo kwenye njiapanda (dilemma) yenye utata mkali sana. Ndiposa binafsi nikamshauri aanze na counselling kwa Sociologist ama Clinical Psychologist ama apate alternate sessions na wote.

Hii script ameandika, kama ni storyline amebuni, basi ni mtunzi mkali sana. Lakini kama ni reality, Sisi wajomba tumeona mtoto wa dada anapitia vipengele vyenye kutatiza hasa. Anahitaji mental and psychological support
 
Kila la kheri dada!
Kwa utulivu na usahihi wa mwandiko, naona kabisa kuwa wewe ni mtu makini na utapata mtu sahihi pia.
 
Asante kwa kukazia mtumishi
 
Sahihi mkuu ila katika kutafsiri bibilia si watu wate wawezao sasa hao wasioweza inakuwaje
 
Muda mchache mambo mengi, mchukue mzima mpeleke Muhimbili pale watamkata mirija ya uzazi. Mtaendelea na libeneke Mawio mpaka Machweo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…