Mwanaume asiye na uwezo wa kupata mtoto anahitajika

Kweli kiongozi kuzaa nahisi wanatosha nahitaji firaha kamili kwangu na watoto na mtarajiwa wangu
Asa kwa hao ulioweka umri wao kama kigezo kikuu wataweza kweli kusugua?
Labda kama unahitaji baba tuuh ila kama ni mizagamuano kwa kwenda mbele tafuta Gen Z wako vizuri kuliko ao wazee unaowawazia.
Lakini ni ushauri tuuh kila la kheri mkuu.
 
Nimevutiwa na hili dili ila nimetafakar sana hicho kigezo mama.
Dah kwani mtoa mada huwezi fikiria namna ya kikiondoa ili sasa wigo uwe mpanaaa?

Naona kama umejifunga sana alafu umetubagua sana sie wengine. Naomba ukiondoe kama hutojali ili sasa na sisi tufikiwe maana hatutaman pia kuongopa kuwa haturutubishi

All in all kila lenye heri na mafanikio liwe kwako
 
I cant reply it here……. But mpk nasema mtu anaweza kuwamiliki kisheria ninamaanisha kuna uwezekano wa mazingira hayo
Sawa. Japo kwanini unataka mwanaume asiye na uwezo wa kuzaa?

Maana hata ningekuwa mimi mwanaume sina uwezo wa kuzaa ningetaka nioe ambaye hana uwezo wa kuzaa.

Na sio aliezaa au mwenye uwezo wa kuzaa sababu atanisumbua tu.

Ubinadamu jinsi ulivyo ni Bora zaidi upate mwenye uwezo wa kuzaa kama wewe.
 
Naam
 
I am taking this into consideration, yes you have a logical point, japo nimetamani kubebeana madhaifu na mtu ambaye anafunga na kuomba kupata furaha ya aina hiyo, we all deserve happiness.
 
Sijajua kwa nini unataka mwanuame asiyezaa?
 
Nahitaji kutengeneza na Mungu na sio kuendelea kuishi kwenye zinaa na uzinzi.
Eeee kumbe,
Ila kwa video hivyo ni ngumu, maana Italeta maswali kwa nini unataka asiyezaa, watu watafikili unampango flani kichwani mwako.
Mmmh labda ueleze sababu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…