Eeeh miimi nilidhani siku hizi mnataka mwanaume mwenye pesa tu, kumbe sasa mahitaji yameongezeka au anywe pombe, avute sigara, awe shabiiki wa mpira au avute hata bangi. Taratibu tutafika sehemu mtataka walau awe hata jambazi au kibaka kidogo.Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Madame upo ?
Umenena vyema mkuuPia sio rahisi kukutana nae mwanaume wa hivyo yaani ni ngumu mwanume asiyetumia bangi ,pombe n.k akaangukia katika mikono ya mwanamke wa sampuli Kama yako
Hamjawahi kueleweka!Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Ngono ni starehe ya watu masikiniMbususu ndo kilevi sio lazima vyote ivyo 😹😹😹💔
Hakika💯💯💯Ngono ni starehe ya watu masikini
Ila tunajua kulomba vizuri.Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
kwani ulivyovitaja ndio vinamtambulisha mwanaume?Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.