Amina mtumishiSisi tunaoishi maisha ya kiroho tumezishinda tamaa,tamaa ni kwa ajili yenu nyie mnaoishi maisha ya nje ya show off ili mkamilike
Nacheka na mwanangu anayesema hawaelewi wanaume wanhivyo .ghafla na wewe ukanichosha kabisaaaπππMrs Byesige kuna nini?
Mkuu, mbona unaua sisimizi kwa risasi πPia sio rahisi kukutana nae mwanaume wa hivyo yaani ni ngumu mwanume asiyetumia bangi ,pombe n.k akaangukia katika mikono ya mwanamke wa sampuli Kama yako
Dactar kweli kabisa aiseee yaani hata mimi naona kabisa kuna watu wanakuja ila hawa match na hii character aiseeee ..Pia sio rahisi kukutana nae mwanaume wa hivyo yaani ni ngumu mwanume asiyetumia bangi ,pombe n.k akaangukia katika mikono ya mwanamke wa sampuli Kama yako
Wengine tushafanya yote hayo tumemaliza sasa tumepumzika.Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Kaambie katulie bado hakaijui duniaπ€£π€£Nacheka na mwanangu anayesema hawaelewi wanaume wanhivyo .ghafla na wewe ukanichosha kabisaaaπππ
Kwamba na wewe ghafla zile wine zimegeuka maji..dahπDactar kweli kabisa aiseee yaani hata mimi naona kabisa kuna watu wanakuja ila hawa match na hii character aiseeee ..
Yeye mwenyewe ana ji isolated.. na nilichogundua kuwa sisi ambao tupo hvi inafikia kipindi hawa watu siwaelewi kabisa
Sikua najua Tequila ni mji...nifundishe utalii wa kunywa pombeWengine tushafanya yote hayo tumemaliza sasa tumepumzika.
Nimekunywa Champagne nikiwa Champagne, Scotch nikiwa Scotland na Tequila nikiwa Tequila.
Sio tu nilikuwa nakunywa pombe, nilikuwa nafanya mpaka utalii wa kunywa pombe.
Sasa nimepumzika.
Alcohol free since January 1 2024.
Heeee πMwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Uzi ufungweHamjawahi kujua mnataka nini maishani..........
smarty haumtaki?
Vita ya mapanga kaja na bunduki dactarπππππ hana utaniMkuu, mbona unaua sisimizi kwa risasi π
Kunywa pombe dhambi...Wengine tushafanya yote hayo tumemaliza sasa tumepumzika.
Nimekunywa Champagne nikiwa Champagne, Scotch nikiwa Scotland na Tequila nikiwa Tequila.
Sio tu nilikuwa nakunywa pombe, nilikuwa nafanya mpaka utalii wa kunywa pombe.
Sasa nimepumzika.
Alcohol free since January 1 2024.
Hao ulevi wao upo kwenye mbunye a.k.a vinyandulio vya kikeMwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Tena waache kama ulivyoacha kunyonya ziwa la mama yakoMwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Madam yale sio mambo yangu ππππKwamba na wewe ghafla zile wine zimegeuka maji..dahπ
Females hamueleweki, akiwa hanywi ishu, akinywa ishu mnataka nn πMwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.