Mwanaume asiyetumia kilevi chochote, havuti sigara wala hashabikii michezo namuona kama ana mapungufu

Hatupo sawa na hatujawahi kukuvutia kivipi we Kahaba na Mlevi? Si kila mtu na maisha yake? Mbona unajioa umuhimu usionao kwemye maosha ya watu?😁😁😁
 
Bila shaka we ni wakala wa shetani
 
Na kwa taarifa yako wanaume wa hivyo wapo wengi Sana

Sio kila unachokipenda wewe lazima mwingine akipende.
One man's food is another man's poison
 
Kila mtu ana vipaumbele vyake,je kama anapenda kujisomea makala mbalimbali?
 
Sasa wewe ni balaaa jingine ila unavofanya sio sawa ipo siku utaumbuka tu mwisho wa ubaya aibu, time will tell
 
Unajisikiaje mwanaume kumtukana mwanaume mwenzako Tena ukijiona wewe ni Bora mbele ya mwanamke, kama unataka huyo principle gal nendeni pm huko sio kuja kubwabwaja hapa

You are such a SIMP
Nani katukanwa bwanamdogo mbona unakasirika alpa male??

Nina washkaji kama wewe au huenda ni wewe mwenyewe ila hii id imekuficha, wao hawanywi pombe, hawavuti fegi wala ganja, starehe yao ni mbunye sasa kuzipata hizo mbunye gharama na muda wanaoutumia aloo unabaki mdomo wazi, na bado zinawalia sana pesa na mbunye hawapati ilihali wanyabi walevi, wala ganja wanazila kiwepesi tu huku mtaani wakionekana wana tabia mbaya (si unajua pisi zinapenda mbanga kama hizo).
 
Mwanaume umeongea, I like it.
 
Ni kweli kabisa madam hatupo sawa ila pia hatujawahi kuvutiwa na sampuli kama yako....

#Lips that touch liquors shall not touch ours!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…