Mwanaume auliwa kwa kukatwa mapanga nyumbani kwa mpenzi wake, yadaiwa alikuwa akitembea na mke wa mtu

Wanaume wengi hawajui kuachika hata kama kosa ni lao wanabaki kuwa ving'ang'anizi utadhani waliibandika wao hio mbususu na kuipa kopiraiti ya peke yao.

Ukiachwa achika acha watu waishi kwa amani
kama humtaki mtu usile hela yake, mtu ana invest kwako miaka , then unamuacha kisa umepata mwingine, mauaji yatazidi tu kuongezeka ukahaba umezidi kuwadanganya wanawake. Wezi wa hela kwa kigezo cha mapenzi hawatoachwa na wasioujua kusamehe.
 
Upuuzi unaacha mwanamke unauwa mwanaume mwenzio asiyejua lolote huenda
 
Mkuu umesoma uzi na kuuelewa au umekurupukia tu comment yangu?
kama humtaki mtu usile hela yake, mtu ana invest kwako miaka , then unamuacha kisa umepata mwingine, mauaji yatazidi tu kuongezeka ukahaba umezidi kuwadanganya wanawake. Wezi wa hela kwa kigezo cha mapenzi hawatoachwa na wasioujua kusamehe.

Hebu pitia huo mstari uelewe
Hakuna aliyekula pesa ya mwenzie hapo bali muuaji hakupenda kuona mwanamke akiwa kwenye mahusiano mengine baada ya kuachana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…