Mwanaume awakimbia wadada na kuwaachia bili Bar.

Mwanaume awakimbia wadada na kuwaachia bili Bar.

safi kabisa, ni hivyo kuna wadada hivyo hivyo brother cjui aliwatoa wapi..wamefika pale wakaambiwa waagize, wakaagiza mishikaki mia300 na savana 3 tatu, tukaona fresh tu, mzigo ukaisha, wakaagiza kuku wa kienyeji wawili, ikabidi nimuage brother...akasema leo watalipa, ckutaka kujua ilikuwaje baada ya mimi kuondoka ila cha ajabu nilikoelekea nilimkuta brother ashafika na yuko anapiga maji yake taratiibu...nilipomuuliza vipi, akajibu tayari..
Dadeki...ndio dawa yao

Dadeki....ndio dawa yao😀
 
Once you grow financially and morally, you bask in the glory of your maturity and independence.

And only upon financial independence does a woman say no to pettiness from the opposite sex.
Not all women CAN grow financially. Some of them are not financially strong. So they aint women anymore?
Maturity got nothing to do with MONEY.
 
Hao wadada aibu NDIO hawana, itakuaje waagize mivyakula yote ayo pengine YY mwenye mshkaji hajawahi kununua ata chips yai
Sasa mwanaume unawatoa out wanawake mfukon hujajipanga unategemea nn?
 
Mm Long time kitambo,nilikosa sapoti tuu...Mzee baba ndio maana hata kusafiri nchi za kiyahudi hataki....si mchezo[emoji12][emoji12]
Ukiitwa mchochezi, usije ukasingizia Jf, maana naskia humu kuna watu wake wa karibu wenye wana mpelekea yenye yanajiri.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom