Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa la sivyo unaweza pata balaaaNdugu zangu bar muende lakini usikose pesa zako kwenye pochi
Hahahhah,..hawezi wakimbia lakini....?Nataka tukaandamane kwakwe yupo vizur hawez kutukimbiaaa nitaagiza Zapa wisky
Si mpaka uwe nazo. Sasa nikikuita uni join utakataa coz huna hela? Njoo peke yake uepuke kukimbiwa (mimi sikimbii nkwambia live nimekuita wewe sio kijiji)Ndugu zangu bar muende lakini usikose pesa zako kwenye pochi
Na nahisi hii ndiyo trend siku hizi. Na sana inawakuta girls, not women.
A woman sure can take care of her own bills and those of her man and fellow friends if she chooses to.
Girls are dependent on a man. Na ili kuonekana they are dating someone who matters they tag along a bunch of their friends.
If you cannot afford to party unless a man is paying your bills then grab a bottle of wine, play some music and enjoy in the comfort of your rooms.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]aiseeee mm mtu akikimbia aache bill namvizia sku anapita nitamchapa makondeeeSasa mdada unaendaje bar hata kama umeitwa huna hela hapo ndio ninapowashangaa wadada wa mjini sina hela siwezi toka hata unialike sikuji
Aaah...hizo ni salamu tuu kwa mjomba,..[emoji473][emoji473]Ukiitwa mchochezi, usije ukasingizia Jf, maana naskia humu kuna watu wake wa karibu wenye wana mpelekea yenye yanajiri.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahaaa. Eti tukio la kishujaa lolMaelezo yako tu yanatosha kumpongeza huyo jamaa kwa tukio la kishujaa alilofanya hapo mjini Tabora....
Nasikia ni tajiri namba moja kwa wanaume wa Dar jf ataaanzaje kutukimbia hata bill ya laki 5 analipaaaaHahahhah,..hawezi wakimbia lakini....?
Loooh kwenye mia utapata mmojaSure thing, i like a chick who can take care of herself, sometimes you go out n have fun together and when yo about to grab yo wallet she says dont worry bae, i got it. Thats what i like about independent woman
Hahhaahaha kumbe tuko wengi,..au ukitoka unaagiza maji ya sayona basii unasikiliza wito[emoji23][emoji23]Sasa mdada unaendaje bar hata kama umeitwa huna hela hapo ndio ninapowashangaa wadada wa mjini sina hela siwezi toka hata unialike sikuji
Nimecheka sana wanaume hawatak mchezoHahaaa. Eti tukio la kishujaa lol
Me nakunywaga maji tu bna.hata ukikimbia nalipia dozen nzimaMiss Natafuta ukimtoa out, anakuja Na mabulungutu yake, ukisepa anawanywesha bar nzima na kuwanunulia misosi
Hahaha shoo huko kitu cha kutoka bila hela kimenishinda mm yaani nikijijua sina hela umeniita nitakupa visababu sababu ili nisijeHahhaahaha kumbe tuko wengi,..au ukitoka unaagiza maji ya sayona basii unasikiliza wito[emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]aiseeee mm mtu akikimbia aache bill namvizia sku anapita nitamchapa makondeee
Alafu unaendaje bar na mwanaume kapuku hana pesaaa
safi kabisa, ni hivyo kuna wadada hivyo hivyo brother cjui aliwatoa wapi..wamefika pale wakaambiwa waagize, wakaagiza mishikaki mia300 na savana 3 tatu, tukaona fresh tu, mzigo ukaisha, wakaagiza kuku wa kienyeji wawili, ikabidi nimuage brother...akasema leo watalipa, ckutaka kujua ilikuwaje baada ya mimi kuondoka ila cha ajabu nilikoelekea nilimkuta brother ashafika na yuko anapiga maji yake taratiibu...nilipomuuliza vipi, akajibu tayari..
Ooh,..basi kama ni hivyo na mm ntaandamana...teh!!!Nasikia ni tajiri namba moja kwa wanaume wa Dar jf ataaanzaje kutukimbia hata bill ya laki 5 analipaaaa
Hata tuagize ndafu analipa
Aut alimtoa mmoja yakaja maandamano ndo maana akayaaga aende akaongezee ATM ili ayakabiri vizuri hayo maaandamano kufika huko akajiongeza baada ya kuona jumbe za maandamano zimekuwa kali sana.Sasa mwanaume unawatoa out wanawake mfukon hujajipanga unategemea nn?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]au unaambiwa nenda kaagize chochote nakuja unaagiza maji makubwaa tu mpala mtu afikeMe nakunywaga maji tu bna.hata ukikimbia nalipia dozen nzima
Hahaaaa. Na kweli aiseee.Nimecheka sana wanaume hawatak mchezo