Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
Dadeki...ndio dawa yaosafi kabisa, ni hivyo kuna wadada hivyo hivyo brother cjui aliwatoa wapi..wamefika pale wakaambiwa waagize, wakaagiza mishikaki mia300 na savana 3 tatu, tukaona fresh tu, mzigo ukaisha, wakaagiza kuku wa kienyeji wawili, ikabidi nimuage brother...akasema leo watalipa, ckutaka kujua ilikuwaje baada ya mimi kuondoka ila cha ajabu nilikoelekea nilimkuta brother ashafika na yuko anapiga maji yake taratiibu...nilipomuuliza vipi, akajibu tayari..
Dadeki....ndio dawa yao😀safi kabisa, ni hivyo kuna wadada hivyo hivyo brother cjui aliwatoa wapi..wamefika pale wakaambiwa waagize, wakaagiza mishikaki mia300 na savana 3 tatu, tukaona fresh tu, mzigo ukaisha, wakaagiza kuku wa kienyeji wawili, ikabidi nimuage brother...akasema leo watalipa, ckutaka kujua ilikuwaje baada ya mimi kuondoka ila cha ajabu nilikoelekea nilimkuta brother ashafika na yuko anapiga maji yake taratiibu...nilipomuuliza vipi, akajibu tayari..