Mwanaume awakimbia wadada na kuwaachia bili Bar.

Ndugu zangu bar muende lakini usikose pesa zako kwenye pochi
Si mpaka uwe nazo. Sasa nikikuita uni join utakataa coz huna hela? Njoo peke yake uepuke kukimbiwa (mimi sikimbii nkwambia live nimekuita wewe sio kijiji)
 
Sure thing, i like a chick who can take care of herself, sometimes you go out n have fun together and when yo about to grab yo wallet she says dont worry bae, i got it. Thats what i like about independent woman
 
Sasa mdada unaendaje bar hata kama umeitwa huna hela hapo ndio ninapowashangaa wadada wa mjini sina hela siwezi toka hata unialike sikuji
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]aiseeee mm mtu akikimbia aache bill namvizia sku anapita nitamchapa makondeee

Alafu unaendaje bar na mwanaume kapuku hana pesaaa
 
Sure thing, i like a chick who can take care of herself, sometimes you go out n have fun together and when yo about to grab yo wallet she says dont worry bae, i got it. Thats what i like about independent woman
Loooh kwenye mia utapata mmoja
 
Hahhaahaha kumbe tuko wengi,..au ukitoka unaagiza maji ya sayona basii unasikiliza wito[emoji23][emoji23]
Hahaha shoo huko kitu cha kutoka bila hela kimenishinda mm yaani nikijijua sina hela umeniita nitakupa visababu sababu ili nisije
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]aiseeee mm mtu akikimbia aache bill namvizia sku anapita nitamchapa makondeee

Alafu unaendaje bar na mwanaume kapuku hana pesaaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa mwanaume unawatoa out wanawake mfukon hujajipanga unategemea nn?
Aut alimtoa mmoja yakaja maandamano ndo maana akayaaga aende akaongezee ATM ili ayakabiri vizuri hayo maaandamano kufika huko akajiongeza baada ya kuona jumbe za maandamano zimekuwa kali sana.
 
Me nakunywaga maji tu bna.hata ukikimbia nalipia dozen nzima
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]au unaambiwa nenda kaagize chochote nakuja unaagiza maji makubwaa tu mpala mtu afike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…