Mwanaume awakimbia wadada na kuwaachia bili Bar.

Hhaahha mm hata msj sijibu....sipendi fedheha kabisaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wana moyo sana unaitwa sehemu uko umependeza hata mia huna hapana aisee acha nitulie tu niangalie tv
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]au unaambiwa nenda kaagize chochote nakuja unaagiza maji makubwaa tu mpala mtu afike
Ahahaaa hzo habari za kuagiza chochote usiziamini mwenzangu utachoma hela zako bure.mi kuagiza kwangu mwisho huku.maji madoogo ya Kilimanjaro basi
 
Kwakweli rafiki huo ni ushujaa maana mtu huwezi kumkomoa hivyo mwenzako wakati nyumbani kwao ukiwakuta huko Tabora wanalamba asali tu...
Yawezekana hata chai hawakunywaaa
 
Huyo jamaa naye kimeo. Unawaambia hapohapo straight in the face wasiagize kama huwezi lipia
 
Safi sana wamezoea slope! hilo ni funzo hata humu ndani usimuamini mwanaume yeyote hata kama ni kaka yako anaweza akakushangaza usiamini macho yako,
 
Hii ilishamtokea mwanang mmoja tunamuitaga mkorintho, yeye alikutanaga online na mtoto mmoja wa chuo kwenye mtandao wa badoo, wakawa wanachati mwisho wa siku wakapeana namba. Yule demu alikua anasoma pale udsm (UDBS) sasa jamaa siku moja akamsaundisha basi wakapanga wameet maeneo ya Triple 7 pale. Mwamba akajipanga fresh akaelekea eneo la tukio mapema sana kufanya reconnaisance ya hapa na pale. Yule manzi alitokea ila cha kushangaza akaja na rafiki zake wawili eti walikua bored akaona sio mbaya wakim-accompany so jumla wakawa watatu. Wakaagiza menu pale na kama mnavyojua bei ya misosi pale 777 sio kindezi, picha linaanza maji ya kilimanjaro tu yale ya buku pale ni buku 3. Mwanang mkorintho akaona sasa hapa ngoja awaoneshe uhuni wa bachu, wakaagiza menu wote wakaanza kula taratibu wakati wanaendelea kula akanitext kimya kimya akanipanga nimpigie simu ye ataweka loudspeaker then nimwambie kama yuko na watu atoke pembeni tuweze kuongea kuna ishu ya msingi sana. Basi nami nikafanya hivyo after 2mins nkampigia nikafanya kama alivyoniambia. Haikupita hata dakika 5 mkorintho akaja maeneo ya msasani b/club pale ambapo mi ndio nilikuepo na wana wengine akaniambia wale ma manzi ameshawaachia mimavi, yaan hadi msosi wake hajaulipia na kwakua alikua hajamaliza kula walijua atarudi tu kumbe mhuni kashawaachia manyoya na uzuri ile line sio anayoitumia siku zote so baada ya hapo akaivunja na kuivunja. Wale ma manzi sijui walisolve vipi ila nina uhakika hawatarudia tena ile tabia na mipunga ya maana itakua iliwatoka pale maana triple 7 sio masihara.
 
Not all women CAN grow financially. Some of them are not financially strong. So they aint women anymore?
Maturity got nothing to do with MONEY.

Did you see the moral growth?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wana moyo sana unaitwa sehemu uko umependeza hata mia huna hapana aisee acha nitulie tu niangalie tv
Kuna watu wana mioyo ya mamba,hawa naona hata kujitoa muhanga hawashindwi kabisaa,..hivi ukidondosha ndizi za watu barabarani kwa mfano na huna hata 100 mbovu unafanyaje....?!hahahaha me stakkki uwwiiiii
 
Mkuu naona umeweka uzi ndani ya uzi

Ila mpe pongezi Mkorintho
 
Hahahahahah mtu kashapanga bajeti zake kuwa hii ni ya kutumia mimi na wewe sasa ee unaleta maandamano ya nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna watu wana mioyo ya mamba,hawa naona hata kujitoa muhanga hawashindwi kabisaa,..hivi ukidondosha ndizi za watu barabarani kwa mfano na huna hata 100 mbovu unafanyaje....?!hahahaha me stakkki uwwiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…