Mwanaume awakimbia wadada na kuwaachia bili Bar.

Mwanaume awakimbia wadada na kuwaachia bili Bar.

Mimi huwa natembea na pesa ya emergence kama naenda bar looh aibu siwez hii wanaume jaman kwann lakin mnawafanyia hivi wadada wa watu
Hao wadada aibu NDIO hawana, itakuaje waagize mivyakula yote ayo pengine YY mwenye mshkaji hajawahi kununua ata chips yai
 
Bado mapema sana rafiki, maana hiyo lugha ya bepari ili niielewe, lazima kwanza nikate jibapa aiseeeee......
Zaidi ya hapo, sanasana nita comment tu "Okay" ili nisiaibike humu haki

Hahaa.

Acha hizo.

Wewe wa long time na najua sio kweli kinapanda.
 
Na nahisi hii ndiyo trend siku hizi. Na sana inawakuta girls, not women.

A woman sure can take care of her own bills and those of her man and fellow friends if she chooses to.

Girls are dependent on a man. Na ili kuonekana they are dating someone who matters they tag along a bunch of their friends.

If you cannot afford to party unless a man is paying your bills then grab a bottle of wine, play some music and enjoy in the comfort of your rooms.
Seems like once you are a woman you aint skint!
 
I'm proud of you
 
Seems like once you are a woman you aint skint!
Once you grow financially and morally, you bask in the glory of your maturity and independence.

And only upon financial independence does a woman say no to pettiness from the opposite sex.
 
Jana nimecheka sana sana kwa sababu wadada walikimbiwa na kuachiwa bili baada ya kula na kunywa kama vile hawatakula tena.Walikuja na mwanaume aliyeonekana ana hela hawa wadada walikuwa watatu wanaonekana ni wanachuo wa chuo kimoja hapa tabora.
Wakaagiza mavinywaji machupa makubwa sijui yanaitwaje kila mtu moja moja yapo kama soda ya mirinda nyeusi.Jikoni wakaagiza kuku wawili na chipsy mayai kila mtu wakala zote kwa uroho hawajabakisha hata shingo waroho sana.
Huyo mkaka aliagiza tu maji makubwa basi.
Baada ya bili kupelekwa huyo mkaka akasema ngoja akatoe hela kwenye Atm kumbe akawa amekimbia moja kwa moja huku wadada walikuwa wanapiga stori wanagonga na mikono sijui walikuwa wanasema nini.Muda ulivyozid kwenda nahisi wakampigia simu haipatikani ikabidi waanze kuhaha wamekaaa hapo mpaka usiku saa 3 ndio kuna mdada mwingine akaja kulipa hela wakaondoka.Nikasema jaman pole yao tu wakome kudowea vya wanaume saivi wamekuwa wachoyo sana wabahili sana sana wanaume wamekuwa wachoyo .
Vipi yule aliyekukimbia na wewe alirudi ??
 
Once you grow financially and morally, you bask in the glory of your maturity and independence.

And only upon financial independence does a woman say no to pettiness from the opposite sex.
Not all women CAN grow financially. Some of them are not financially strong. So they aint women anymore?
Maturity got nothing to do with MONEY.
 
Back
Top Bottom