Mwanaume chukua somo kwenye kisa cha Talulah Riley na Elon Musk

NDOA NI MAHUSIANO YA MUDA TU,UNAWEZA KUWA MREFU SANA AU MFUPI SANA LKN MNAWEZA SABABISHA MUDA UKAWA MREFU
 
Malaya mwenye tamaa ya pesa

Hapo akilioa baada ya miaka kadhaa litaomba taraka ili wagawane mali nusu kwa nusu
 
Labda ni kipindi baada ya yeye Elon kupata pesa zake za hisa kutoka PayPal ( PayPal mafia, nae alikuwa mmoja wao), halafu akawekeza pesa zote kwenye kampuni tatu , "Tesla, SolarCity na Starlink", majarida mengi yanasema kuwa kipindi hicho alikuwa anakopa pesa kutoka kwa kaka yake, na alikuwa analala kwenye kochi ofisini kwake.
 
And women hate that
 
Maharagwe mamaaa mboga ya matundaa
Nikimkumbuka Ex moyo unadundaaaaa
 

Nani kakudanganya kwamba wanawake wanapendaga. Wenyewe siku zote wako after usalama. Uwe wa kifedha, kijamii, kisaikolojia na kimwili. Sasa huyu mwanamama anaona hivi vyote viko tayari kabisa.
Kwa ufupi "ANAZINGATIA MAOKOTO"
 
Nani kakudanganya kwamba wanawake wanapendaga. Wenyewe siku zote wako after usalama. Uwe wa kifedha, kijamii, kisaikolojia na kimwili. Sasa huyu mwanamama anaona hivi vyote viko tayari kabisa.
Kwa ufupi "ANAZINGATIA MAOKOTO"
Hapo anaomba kurudi ila ameshapiga mahesabu ya Twitter na Starlink πŸ˜ƒ
 

Kumbe walituibia emerald yetu huko Zambia πŸ‡ΏπŸ‡²
 
Hii ndio stori ambayo Elon musk anatunga sasa hivi ili kujiepusha na huo mgodi, ila members wengine wa familia na hata yeye mwenyewe Elon kipindi cha Nyuma amewahi kukiri wao kuwa na pesa ambazo hawajui hata idadi yake. Baba yake anakwambia wana masanduku ya pesa to the point hadi haya fungi. Musk ni mtu wa totoz ana wanawake kibao ambao alikua anawahonga vitu.

Huu mkufu aliohonga demu 1995, ukauzwa milioni zaidi ya 100 kwenye Auction na kito cha Emerald.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…