Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

Kukimbia majukumu.....mnapenda kula msipopeleka mboga
Hata hela ya pad tu unashindwa kumpa demu wako
Uchoyo tu ....hizi ni tabia za kivulana hakuna mwanaume kamili anayeweza kuweza hivi....grow up..be a man
Sasa mnataka 50/50 ya nini ikiwa bado mnataka muhudumiwe. Umepewa access ya elimu, ajira, kumiliki mali hayo yote hayatoshi bado unataka ununuliwe na pad. Mkiambiwa hamna mnacho-offer kwenye mahusiano zaidi ya ngono mnakataa
 
Sasa mnataka 50/50 ya nini ikiwa bado mnataka muhudumiwe. Umepewa access ya elimu, ajira, kumiliki mali hayo yote hayatoshi bado unataka ununuliwe na pad. Mkiambiwa hamna mnacho-offer kwenye mahusiano zaidi ya ngono mnakataa
Mkuu tafuta kwanza ajira mahusiano achana nayo...you have nothing to offer too
 
Life halina formula, life ni simple mwisho wa siku fanya kile wewe unataka na sio yeye au yule anategemea ufanye nini kwa wakati gani..., Ukizingatia pesa ni makaratasi kwahio inatemegea unachopata ukiwa nae huenda hata bilioni kadhaa zikawa hazitoshi.... na mwingine kuwa nae ni kero huenda hata unaweza ukaamua umlipie vacation aende safari ya mwisho wa dunia ili usimuone tena... (By the way nadhani makosa ya wengi ni kudhani unaweza kumiliki binadamu mwenzako, kumbe mara nyingi unakuwa ni kama upo kwenye lease at that particular moment)

To each their own.....; Ila tukirudi kwenye swali langu kupenda ni nini ? Sababu ukisema kama kweli anakupenda na binadamu sio sura tu bali ni tabia na character na yeye anachukia ubahili (kumbuka naongelea ubahili sio umasikini) na wewe unajifanya character ambayo sio yako huoni kwamba utakuwa una-portray kitu ambacho wewe sio ?
 
Ni mvulana tu anayeweza kutumia njia hii uliyoshauri, na siyo mwanaume aliyekamilika na kujua wajibu wake kwa mwenza wake.
 
Hapo ndipo mnafeli, mwanamke ambae yupo level ya kuomba pesa ya pad ni mzigo. Kuna vitu wanawake mnapaswa kuomba na kuna vitu unaweza maliza mwenyewe.
Binafsi mwanamke asiyeweza kujihudumia mpaka kwa minor things kama kujinunulia pad, vocha n.k hajanipata bado.

Huo utakuwa ni mzigo usiobebeka aisee, mpaka hela ya pad? No, Big No.
 
I’ll get back to you man, i am bit busy. Enjoy
 
Sasa vitu vidogo kama hivyo kwenye Mapenzi vina raha yake sana....
Mwanamke anaweza asiombe... ila ukimletea bila kuombwa inapendeza sana
Nitakayemfanyia hivyo ni wife in advance siyo hawa wa hit & run.
 
Sahihi....
Ila sasa kwanini mtu anataka kuwa na Mwanamke ambaye hana uwezo naye...

Mwanamke hata kama ana hela yake.. ..hela ya Mwanaume wake anaitaka pia....
Thus why wanawake wengi now days tunawaita ni narcissists.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maokotooo yazingatiweee shogareee
 
Nakazia tu.Kamwe kama mwanaume usililie manzi kiasi cha kujishushia heshima hawa viumbe hawana shukrani kabisa hata kama unakazana kumpa hela akili zao zinaendeshewa na mazingira ya papohapo sio ya kuangalia kesho yao na mara zote wanajifunzaga vitu baada ya kuwa wamepigwa na kitu kizito ndio akili zinawakaa sawa
 
Fanyeni kazi acheni kuwa ombaomba


Ila bongo umasikini ni mwingi sana kama umeishi mbele ukija kuanza kudate na mademu wa bongo utaona unavyodate na masikini [emoji2]

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
Wanaiga aina maisha ya wenzao(nje)ambao wanajigharamia wenyewe kwa gharama zao,wao wanataka maisha hayo ila si kwa jasho lao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…