Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jinunulie kama unaona ni level yako kuogea sabuni za bei hiyo sio kumtegemea mwanamume ni aibu.Halafu vinataka kudate na watoto wazuri ambao sabuni ya kuogea tu ni kwanzia 20k
Kwani wewe ni ombaomba? Mbona umekomaa sana kuhusu kuomba omba?Kwa mwanaume kamili haombwi anatoa mwenyewe...Sasa ukiona unaombwa ujue hujiongezi....au basi unataka nikuombe nini??
AsanteHadi mama mchungaji unazingatia maokotoo?
Sema hua nakuelewa kinoma D[emoji16][emoji16]
Tuwasiliane basi pm mama anguAsante
Wewe huogopi kupigwa na maombi...Tuwasiliane basi pm mama angu
Nawaza tu sijui huko nyuma miaka ile ambayo hapakuwepo mobile phones na email watu walikuwa wanawapima vipi wanawake kuwajua kama wanawapenda kweli au la.Waslaam wakuu!
Kwa kawaida penzi likiwa jipya huwaga linanoga Sana Yaani full kubebishana tu. Hapo hamkauki kupigiana Simu mixer kutumiana message za mahaba.
Basi mwanaume ukitaka kujua kama huyo mpenzi wako anakupenda kiukweli bila kujali mapungufu yako basi subiri akuombe msaada wako hususan wa kipesa.
Hapo kwenye kuombwa pesa ndo njia pekee ambayo unaweza kuitumia kupima kiwango cha upendo wake kwako.
Kwa hiyo fanya hivi, akikuomba pesa jifanye huna hata Mia mbovu yaani upo chini kabisa ( wakati mwenyewe unajua kbsa una hizo pesa) ili kutest reaction yake. Ukishamwambia huna pesa za kumpa then kaa kimya kwa muda wa wiki moja. Yaani fanya mambo yako kabisa wala usishughulike naye huku unamsikilizia uone kama ataendelea kukutafuta ama atakausha mazima.
Brother, ukiona huyo mwanamke wako ameanza kupunguza mawasiliano yaani hakutafuti tena mpaka wewe umtafute, message zako anajibu kwa ufupi basi jua hapo huna mtu. Mpaka pale utakapomtimizia alichokuomba ndipo atakapoanza kukuchangamkia.
Sasa mwanaume unayejielewa umeona hizo dalili hapo juu kwa mwanamke wako afu bado unakaza fuvu unataka kuendelea kuwa wakati mwenyewe kaonyesha yeye ni gold digger kbsa🤔
Oyaa bro, ukiona mwanamke wako amekubadilikia ghafla eti kisa hujampa pesa aliyokuomba piga china haraka tafuta pisi nyingine.
Tuendelee kuishi na hawa viumbe kwa akili ndugu zangu.
Wajibu wake ni kuhonga hela kwa wa wake? Au ndivyo uluvyo aminishwa mwenzetuTimiza wajibu wako kama mwanaume
Unafikiri ni kuomba tu? Hata ukiomba, usipotaja amount hupati kitu kwangu.Kwanza Mwanaume anayejielewa hasubiri kuombwa ombwa hela na Mwanamke wake...
Wewe hela ya boxer unampa bf wako?Kukimbia majukumu.....mnapenda kula msipopeleka mboga
Hata hela ya pad tu unashindwa kumpa demu wako
Uchoyo tu ....hizi ni tabia za kivulana hakuna mwanaume kamili anayeweza kuweza hivi....grow up..be a man
Sio hela ya boxer tuWewe hela ya boxer unampa bf wako?
Kwanini usimpe Wewe?Eti jamani...
Mimi hata nikiwa na Laki Baby akanipa elfu 10.. Nafurahi, Namshukuru...na hapo sijamuomba...
Sasa Mwanaume unasubirije hadi Mwanamke wako aanze kukuomba omba hela surely!!!
Hiyo ni gross, tukaangalia net nani anatoa zaidi???Sio hela ya boxer tu
Wese namuwekea
Vizawadi vya hapa na pale