Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

Na huyu dada yenu wa UDSM aliyekosa zawad ya gari kisa ukicheche wake, tumuweke wapi?
 
Halafu vinataka kudate na watoto wazuri ambao sabuni ya kuogea tu ni kwanzia 20k
Jinunulie kama unaona ni level yako kuogea sabuni za bei hiyo sio kumtegemea mwanamume ni aibu.

Kabla yake ulikuwa unaishije? Aise wanawake baadhi yenu mnajidhalilisha mno.

Namshukuru Mungu dada zangu wote hakuna matonya/ombaomba wanapambana vilivyo ma mambo yao yapo super.
 
Kwa mwanaume kamili haombwi anatoa mwenyewe...Sasa ukiona unaombwa ujue hujiongezi....au basi unataka nikuombe nini??
Kwani wewe ni ombaomba? Mbona umekomaa sana kuhusu kuomba omba?

Sehemu za siri zitapata tabu sana ikiwa mindsets zako umezielekeza kwenye kuomba omba.
 
Nawaza tu sijui huko nyuma miaka ile ambayo hapakuwepo mobile phones na email watu walikuwa wanawapima vipi wanawake kuwajua kama wanawapenda kweli au la.
 
BWANA YESU KRISTO ATUKUZWE, MWANAUME ANAONA FAHARI KUMPA HELA MWANAMKE WAKE BILA KUJALI WALA KUMSIMANGA
 
Na ikitokea ume mwambia huna hela ila yeye akaongeza juhudi za kukutafuta, kukusumbua sana huku ana kukupa akili ya kutafuta hela ili uweze kutimiza jukumu lako kwake kama mwanaume je, na huyo apigwe chini mkuu?
 
Kwanza Mwanaume anayejielewa hasubiri kuombwa ombwa hela na Mwanamke wake...
Unafikiri ni kuomba tu? Hata ukiomba, usipotaja amount hupati kitu kwangu.

Huwezi kuniambia unaomba pesa bila kusema ni kiasi gani. Yaani mimi niotee tu kuwa shida yako inahitaji 100,000 au aftatu?

BIG No. Nitakujibu tu kuwa nimekusikia[emoji871]
 
Kuna mwingine ni anashida ya haraka aio yakufanyia mzaha usipotuma mtu hukosa uhai au anafukuzwa anapoishi . So usifanyie shida ya mtu mzaha
 
Kukimbia majukumu.....mnapenda kula msipopeleka mboga
Hata hela ya pad tu unashindwa kumpa demu wako
Uchoyo tu ....hizi ni tabia za kivulana hakuna mwanaume kamili anayeweza kuweza hivi....grow up..be a man
Wewe hela ya boxer unampa bf wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…