EstherSaid
Member
- Jun 3, 2024
- 38
- 84
Ww kama mwanamke mwenye akili timamu usiwahi kunyanyua mkono wako kumpiga mwanamke mwenzio au kumletea Fujo yoyote kisa anatembea na bwana ako...mwanamke anatongozwa..na Kwa madai ya kwamba alijipeleka mwenyew..swala linarudi pale pale kwamba huyo mwanaume na yeye alikubali ilhali anajua ana mke au girl friend💀
Tamaa haishi Wala hazijawah kujishiba..na wanaume wameumbiwa hulka hiyo..kutamani vitu ata kama ni vya ovyoo😂
Cha msingi kuwa single😂😂😂😂love is only for the strong ones ✌️😂😂😂😂 imeishaa hyo
Tamaa haishi Wala hazijawah kujishiba..na wanaume wameumbiwa hulka hiyo..kutamani vitu ata kama ni vya ovyoo😂
Cha msingi kuwa single😂😂😂😂love is only for the strong ones ✌️😂😂😂😂 imeishaa hyo