EstherSaid
Member
- Jun 3, 2024
- 38
- 84
😂😂😂Waje wakina nan?🙌nko mbioni kukitafuta kilemba Cha u sister🥲Subiria waje
😂😂😂Uwezekano upo Kwa sababu mabwana wenyew walioko kweny ndoa barabaran wako single🙌😹Kwanza huwa nashangaa mtu anapata wapi mamlaka ya kumshutumu mtu mwingine eti anatembea na 'mtu wako' unless muwe mmefunga ndoa. Huwezi kudai eti yule dada anatembea na bwana ako. Inawezekana ni wewe ndiye unatambea na bwana wa mtu.
Woii nyie mnaenda wenyew hamuibiwii😌Wewe ndio umesema hatuibiwi , ila sisi wanaume tunaibiwa sana tu.
Uwe single ili uendelee kuiba waume za watu eeeh?Ww kama mwanamke mwenye akili timamu usiwahi kunyanyua mkono wako kumpiga mwanamke mwenzio au kumletea Fujo yoyote kisa anatembea na bwana ako...mwanamke anatongozwa..na Kwa madai ya kwamba alijipeleka mwenyew..swala linarudi pale pale kwamba huyo mwanaume na yeye alikubali ilhali anajua ana mke au girl friend💀
Tamaa haishi Wala hazijawah kujishiba..na wanaume wameumbiwa hulka hiyo..kutamani vitu ata kama ni vya ovyoo😂
Cha msingi kuwa single😂😂😂😂love is only for the strong ones ✌️😂😂😂😂 imeishaa hyo
Kuahibika ni lugha ya kabila gani mkuu?Hapana ni ushaur tu😂😂😂yangenikuta nisingeandika..mtu mzima kuahibika akuuu🙌
Kama anabisha ajaribu kuwa mwanaume aone, ni vile hawezi. Mi tangu juzi nataka kuibiwa na lishangazi fulani hivi sijutii kulifaham.Wewe ndio umesema hatuibiwi , ila sisi wanaume tunaibiwa sana tu.
Bado una sifa sitahiki za wewe kuwa mbioni kukitafuta kilemba cha u sister?😂😂😂Waje wakina nan?🙌nko mbioni kukitafuta kilemba Cha u sister🥲
Anataka atusemee huyu , wakati tunajijua mwenyewe 😅😅😅Kama anabisha ajaribu kuwa mwanaume aone, ni vile hawezi. Mi tangu juzi nataka kuibiwa na lishangazi fulani hivi sijutii kulifaham.
Ww kama mwanamke mwenye akili timamu usiwahi kunyanyua mkono wako kumpiga mwanamke mwenzio au kumletea Fujo yoyote kisa anatembea na bwana ako...mwanamke anatongozwa..na Kwa madai ya kwamba alijipeleka mwenyew..swala linarudi pale pale kwamba huyo mwanaume na yeye alikubali ilhali anajua ana mke au girl friend💀
Tamaa haishi Wala hazijawah kujishiba..na wanaume wameumbiwa hulka hiyo..kutamani vitu ata kama ni vya ovyoo😂
Cha msingi kuwa single😂😂😂😂love is only for the strong ones ✌️😂😂😂😂 imeishaa hyo
Vayolensi 😬😂😂😂Picha yako ndio hiyo kwenye DP? If so ww huwezi iba mwanaume yeyote yule