Mwanaume haibiwi anaenda mwenyewe😹🙌 Amka dada‼️

Ngoja ufike miaka 35's akili itakuwa imekukaa sawa
 
Watu bana eti vitu vya hovyo...wee kugegedana sio kitu cha hovyo...ndio sababu nambari one ya mihangaiko yote unayoona hapa duniani.
 
Mtu anakupigia kelele kila ukirudi, unajipatia mwingine anaekujali kupitiliza yaani hadi ukijamba anakuuliza "Honey hujaumia?"

Kwanini usiibwe? Tutaibwa sana tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…