Mwanaume haibiwi anaenda mwenyewe😹🙌 Amka dada‼️

We EstherSaid piga ua unanyanduliwa na mume wa mtu..!!
 
Wee Mwanaume unamchekea mwanamke afu aonee huruma???? Thubutuuuuuuuuu!!!

Ni kweli Kabisa unaenda kwa mwanamke mwingine ukiwa na akili zako timamu!

Hata kufika hamtafika walai
Pendaneni wanawake...
 
Endapo msichana au mwanamke asipojua kuwa huyu ni mume wa mtu, hapoo ni sawaa, ila km anajua ni mume wa mtu, na bado akakubali kudate nae,
Basi ana halali kushutumiwa vikali, na apewe adhabu stahiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…