Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
ni sawa, lakini jambo ambalo unatakiwa kujua ni kuwa FURAHA ni tunda la Roho Mtakatifu. Mtu mwenye Roho wa Mungu regardless ana hali gani ya kiuchumi huwa na furaha, kwa sababu furaha ni zao la Roho Mtakatifu ndani ya moyo wa mtu.Suala la kufurahi ni kwa ajili ya wanawake na watoto ila siyo kwa wanaume (akina Baba). Maisha katika zama tunazoishi yamejawa na misongo na matatizo hayahitaji kujionea huruma.
Ikumbukwe unachokitaka wewe na mwingine anakitaka hivyo njia ya pekee hapo ni kupambana na kushinda na siyo kusubiria huruma.
Karibu kila kitu leo kinapatikana kwa kushindana na siyo kuoneana huruma au kujionea huruma "just fight and win".
Akili ya mwanaume inapaswa ikubali kupita katika ugumu kwa saababu ndani ya ugumu huo ndipo yalipo mafanikio. Mafanikio yapo katika kutatua matatizo ya watu na kutatua matatizo ya watu siyo suala la kujionea huruma na kutafuta furaha kama kipaumbele cha maisha kumbuka kupambana na kushinda ndiyo mkao wa akili ya kiume "stress and win".
Watu wana matatizo lukuki yanayohitaji suluhu kutoka kwa watu wengine ambao kwa hakika wanapaswa kuwa katika mtazamo wa kiakili ulio tofauti na wao "stress and win mindset".
Furaha haipaswi kuwa lengo kuu la mwisho la maisha ya mwanaume.
Naam, upo sawa kabisa furaha ya kiume ni kupambana na kushindani sawa, lakini jambo ambalo unatakiwa kujua ni kuwa FURAHA ni tunda la Roho Mtakatifu. Mtu mwenye Roho wa Mungu regardless ana hali gani ya kiuchumi huwa na furaha, kwa sababu furaha ni zao la Roho Mtakatifu ndani ya moyo wa mtu.
Gal 5:22
Mkuu sijaandika kuwa sitaki furaha hapo ila hoja ipo hivi "furaha siyo lengo kuu la maisha ya mwanaume" ...Kama hutaki furaha kua sehemu ya maisha yako hiyo ni wewe na nafsi yako mzee, kila mmoja na namna yake ya kuishi
Kufurahi kiume ni kupambana na kushinda.Kila mwanadamu ana haki ya kufurahi, pamoja na machungu yote ya dunia
Mlaki wape factKufurahi kiume ni kupambana na kushinda.
Mkuu furaha inatoka wap tuliambiwa tutakula kwa jasho na maisha ya binadamu aliezaliwa na mwanamke ni mafup nayo yamejaa tabu na shida ukiwa mwanaume furaha ni ndogo sana labda ukute ni Mario unaamka saa 4 asubui unakuta chai ipo mezani na mchana unakuta hot pot za kutosha ziko mezani lakini kama maisha una haso mwenyewe mkuu furaha ni asilimia 0:5Kama hutaki furaha kua sehemu ya maisha yako hiyo ni wewe na nafsi yako mzee, kila mmoja na namna yake ya kuishi
Exactly 💯Kila mwanadamu ana haki ya kufurahi, pamoja na machungu yote ya dunia
kwahiyo hata ukishinda huruhusiwi kufurahi?Suala la kufurahi ni kwa ajili ya wanawake na watoto ila siyo kwa wanaume (akina Baba). Maisha katika zama tunazoishi yamejawa na misongo na matatizo hayahitaji kujionea huruma.