Mwanaume hautopendwa bure

Mwanaume hautopendwa bure

Huu ushauri wa kukaa mbali na wife kwa sababu ya kua mpya kwake ni ushauri wa kijinga mno,ukiachia Gap kidogo wahuni wanakusaidia
Utachagua ukae mbali ule na wahuni lakini ndoa idumu na usife napresha pia kipato kiimarike au ukae nae karibu ili muanze kuviziana wewe na yeye na bado wahuni wamkule ukiwa mishe mishe halafu mazoea yakue aone unambana ahame kwako kwa kijisingizio chochote atakachokukuta nacho au alichokwisha kukukamata nacho aende mtaa wa nane akapange huko ili awe huru kuliwa na wahuni wanaompa bichwa baada ya kuona wewe unamhold.
Na baada ya kuondoka kwako kwa kibri cha kike kinachovuguma kutoka ukeni akidhan kuwa ataendelea kuitawala mitaa akisahau kuna form 4 leavers kila mwaka atakutana nao huko mtaani.
Watu wakishajua kuwa ameachika kwa mumewe wanaanza kumkwepa kama ukoma.. Anaishia kubahatisha madingi ili awachune lakini na wao hawamchukulii siriazi sana maana wana mambo ya msingi yanayowakabili a.k.a first family.
Huyu na watoto wake kama ni wawili au watatu anaanza kuonekana kituko cha mtaa
Maana anakuwa uponeo wa watu wasiokuwa na malengo wala mikakati ya maana maishani kifupi anakuwa ni wa kusogezea siku.
Anakuja kutahamaki miaka imeenda na kwako hawezi kurudi maana hapo kati alikirusha ili kukukomoa akaishia kutundikwa mimba juu hii inaitwa hata kama zilikuwa zimebaki asilimia 30 za kurudi kwa mwamba sasa zimeisha kabisa.
Matokeo yake anaanza kukulaumu wewe aliyekukimbia kuwa ulisababisha hisia zake juu yako zikakata hivyo akaona salama yake ni kujiengua akafanye yake.
Na kweli kayafanya na mbaya zaidi anaendelea kubeba jina lako tu maana anaitwa mke wa fulani ambae ni wewe.
Play smart broo.
Usitake kubanana na hawa akina Eva maana wamejaa uovu halafu wana wasi wasi muda wote
Ndio maana unaishi nae yeye badala akomae kutafuta mazuri yako anakomalia kuwinda mabaya yako ili apate ngao ya maovu yake ambayo yenyewe yapo tu hivyo anatafuta mabaya yako ili ajikingiemo.
Ya nini kutaka kuendelea kupumuliana na kiumbe huyo muachie nafasi atombwe anavyotaka ila ukirudi umkute kwenye himaya yako analea familia.
Ukimkomalia sana anakukimbia na kukuacha mwenyewe maana na watoto watamfuata tu. Ya nini yote hayo?
Mgeuze kama uponeo wako maana hatopata muda wa kukuchunguza.
 
Haijalishi wewe ni nani, hakuna upendo wa bure kwa mwanaume. Upendo pekee wa bure utaupata kutoka kwa mama yako na dada zako, zaidi ya hao hakuna mwanamke mwingine atakupenda bure.

Unatakiwa kumlipa mwanamke ili akupende, huo ni ukweli ambao lazima ukubaliane nao, but don't panic, there is a good side in anything.

Uzuri ni kwamba ukifanikiwa kujijenga kimafanikio utakua na uhuru wa kuchagua mwanamke wa kumlipa.

Uzuri mwingine ni kwamba utakapokua tayari umeshafanikiwa chochote utakachomfanyia mwanamke as long as unamlipa bei inayomtosheleza yeye mwenyewe atatafuta sababu ya kukihalalisha (elewa neno chochote)

Hata siku moja usimbabaikie mwanamke, usijinyime kwa ajiri ya mwanamke, hakuna thamani ambayo mwanamke ataiongeza kwenye maisha yako, zaidi atakupandishia gharama za maisha tu. Women are liabilities in your life.

Ndoa au mahusiano serious ni liability kwa mwanaume, uwe umejipata au unajitafuta lazima kuna namna mahusiano yako yatakua liability kwako, sasa hii liability ni bora uibebe ukiwa umeshajipata kuliko kuibeba ukiwa bado masikini.

Sacrifice, devotion, passion and all love relationship stuffs are suitable to a woman because only her pussy is enough to sustain her relationship, but not you my brother.

I rest my case.
SIKWELI
 
Back
Top Bottom