Sonko Bibo
JF-Expert Member
- May 24, 2019
- 957
- 1,493
Utachagua ukae mbali ule na wahuni lakini ndoa idumu na usife napresha pia kipato kiimarike au ukae nae karibu ili muanze kuviziana wewe na yeye na bado wahuni wamkule ukiwa mishe mishe halafu mazoea yakue aone unambana ahame kwako kwa kijisingizio chochote atakachokukuta nacho au alichokwisha kukukamata nacho aende mtaa wa nane akapange huko ili awe huru kuliwa na wahuni wanaompa bichwa baada ya kuona wewe unamhold.Huu ushauri wa kukaa mbali na wife kwa sababu ya kua mpya kwake ni ushauri wa kijinga mno,ukiachia Gap kidogo wahuni wanakusaidia
Na baada ya kuondoka kwako kwa kibri cha kike kinachovuguma kutoka ukeni akidhan kuwa ataendelea kuitawala mitaa akisahau kuna form 4 leavers kila mwaka atakutana nao huko mtaani.
Watu wakishajua kuwa ameachika kwa mumewe wanaanza kumkwepa kama ukoma.. Anaishia kubahatisha madingi ili awachune lakini na wao hawamchukulii siriazi sana maana wana mambo ya msingi yanayowakabili a.k.a first family.
Huyu na watoto wake kama ni wawili au watatu anaanza kuonekana kituko cha mtaa
Maana anakuwa uponeo wa watu wasiokuwa na malengo wala mikakati ya maana maishani kifupi anakuwa ni wa kusogezea siku.
Anakuja kutahamaki miaka imeenda na kwako hawezi kurudi maana hapo kati alikirusha ili kukukomoa akaishia kutundikwa mimba juu hii inaitwa hata kama zilikuwa zimebaki asilimia 30 za kurudi kwa mwamba sasa zimeisha kabisa.
Matokeo yake anaanza kukulaumu wewe aliyekukimbia kuwa ulisababisha hisia zake juu yako zikakata hivyo akaona salama yake ni kujiengua akafanye yake.
Na kweli kayafanya na mbaya zaidi anaendelea kubeba jina lako tu maana anaitwa mke wa fulani ambae ni wewe.
Play smart broo.
Usitake kubanana na hawa akina Eva maana wamejaa uovu halafu wana wasi wasi muda wote
Ndio maana unaishi nae yeye badala akomae kutafuta mazuri yako anakomalia kuwinda mabaya yako ili apate ngao ya maovu yake ambayo yenyewe yapo tu hivyo anatafuta mabaya yako ili ajikingiemo.
Ya nini kutaka kuendelea kupumuliana na kiumbe huyo muachie nafasi atombwe anavyotaka ila ukirudi umkute kwenye himaya yako analea familia.
Ukimkomalia sana anakukimbia na kukuacha mwenyewe maana na watoto watamfuata tu. Ya nini yote hayo?
Mgeuze kama uponeo wako maana hatopata muda wa kukuchunguza.