Mwanaume hautopendwa bure

Mwanaume hautopendwa bure

Haijalishi wewe ni nani, hakuna upendo wa bure kwa mwanaume. Upendo pekee wa bure utaupata kutoka kwa mama yako na dada zako, zaidi ya hao hakuna mwanamke mwingine atakupenda bure.

Unatakiwa kumlipa mwanamke ili akupende, huo ni ukweli ambao lazima ukubaliane nao, but don't panic, there is a good side in anything.

Uzuri ni kwamba ukifanikiwa kujijenga kimafanikio utakua na uhuru wa kuchagua mwanamke wa kumlipa.

Uzuri mwingine ni kwamba utakapokua tayari umeshafanikiwa chochote utakachomfanyia mwanamke as long as unamlipa bei inayomtosheleza yeye mwenyewe atatafuta sababu ya kukihalalisha (elewa neno chochote)

Hata siku moja usimbabaikie mwanamke, usijinyime kwa ajiri ya mwanamke, hakuna thamani ambayo mwanamke ataiongeza kwenye maisha yako, zaidi atakupandishia gharama za maisha tu. Women are liabilities in your life.

Ndoa au mahusiano serious ni liability kwa mwanaume, uwe umejipata au unajitafuta lazima kuna namna mahusiano yako yatakua liability kwako, sasa hii liability ni bora uibebe ukiwa umeshajipata kuliko kuibeba ukiwa bado masikini.

Sacrifice, devotion, passion and all love relationship stuffs are suitable to a woman because only her pussy is enough to sustain her relationship, but not you my brother.

I rest my case.
Ni kutafuta hela tu, hamna namna
 
That's not my perspective that is law of woman hypergamy nature
Up until "I learn the hard way", let me agree to disagree. As a human, I think I am entitled to make my own mistakes and learn from every one of them rather than just use your experiences to lead my life which has never been a "one size fits all".
 
Bure ni nini ?

Ofcourse hakuna kitu cha bure ila kitu (haimaanishi monetary au uchumi pekee) kwahio kila kitu kina KITU; Iwe upendo nyanya unazonunua sokoni au mbegu unayopanda shambani...., Every reaction is initiated by an action, na life / reality is complicated sio black or white there are a lot of grey areas...
 
Again, what am talking about is not my experience is not my perspective, it's hypergamy nature of women. Wishing you best lucky on your decision making, i hope you are not a simp.
 
Kupendwa sio tatizo Ila je unapendwa na nani ?

Kumuhudumia mwanamke na kumpa pesa sio tatizo ila je unamuhudumia aina gani ya mwanamke.?

MTU yeyote anaweza kuwa liability endapo ukimweka sehemu ambayo hastahili kuwepo.

You can go broke due to impress women but you can't go broke due to help women.
 
Bure ni nini ?

Ofcourse hakuna kitu cha bure ila kitu (haimaanishi monetary au uchumi pekee) kwahio kila kitu kina KITU; Iwe upendo nyanya unazonunua sokoni au mbegu unayopanda shambani...., Every reaction is initiated by an action, na life / reality is complicated sio black or white there are a lot of grey areas...
Angalao umenielewa.
 
Kupendwa sio tatizo Ila je unapendwa na nani ?

Kumuhudumia mwanamke na kumpa pesa sio tatizo ila je unamuhudumia aina gani ya mwanamke.?
Upo sahihi
MTU yeyote anaweza kuwa liability endapo ukimweka sehemu ambayo hastahili kuwepo.
Hapa ndipo vijana wengi wanakosea linapokuja suala la mahusiano
You can go broke due to impress women but you can't go broke due to help women.
Hapa naona kama umepotea kidogo, labda utufafanulie zaidi
 
Upo sahihi

Hapa ndipo vijana wengi wanakosea linapokuja suala la mahusiano

Hapa naona kama umepotea kidogo, labda utufafanulie zaidi

Kumfurahisha mwanamke
Kumsaidia mwanamke

Hizi ni falsafa ukizidadavua vizuri unaweza kugundua vijana huwa hawawasaidii wanawake Ila wanawafurahisha wanawake.
 
Haijalishi wewe ni nani, hakuna upendo wa bure kwa mwanaume. Upendo pekee wa bure utaupata kutoka kwa mama yako na dada zako, zaidi ya hao hakuna mwanamke mwingine atakupenda bure.

Unatakiwa kumlipa mwanamke ili akupende, huo ni ukweli ambao lazima ukubaliane nao, but don't panic, there is a good side in anything.

Uzuri ni kwamba ukifanikiwa kujijenga kimafanikio utakua na uhuru wa kuchagua mwanamke wa kumlipa.

Uzuri mwingine ni kwamba utakapokua tayari umeshafanikiwa chochote utakachomfanyia mwanamke as long as unamlipa bei inayomtosheleza yeye mwenyewe atatafuta sababu ya kukihalalisha (elewa neno chochote)

Hata siku moja usimbabaikie mwanamke, usijinyime kwa ajiri ya mwanamke, hakuna thamani ambayo mwanamke ataiongeza kwenye maisha yako, zaidi atakupandishia gharama za maisha tu. Women are liabilities in your life.

Ndoa au mahusiano serious ni liability kwa mwanaume, uwe umejipata au unajitafuta lazima kuna namna mahusiano yako yatakua liability kwako, sasa hii liability ni bora uibebe ukiwa umeshajipata kuliko kuibeba ukiwa bado masikini.

Sacrifice, devotion, passion and all love relationship stuffs are suitable to a woman because only her pussy is enough to sustain her relationship, but not you my brother.

I rest my case.
KAKA WEWE NI MOJA YA WANAUME WACHACHE SANA WANAOIJIELEWA, KUNA NYUZI YAKO ILE INAOONGELEA WANAWAKE WALIOSHINDWA KUJITUNZA KABLA YA NDOA NIMESHUHUDIA WANAUME WANAKUJIBU VIBAYA HII YOTE NI KWAKUA WAKE ZAO HAWAKUA BIKRA NDIO MAANA HAWANA NAMNA, WANAWAKE NAO NIMEONA WAMEKUJIBU VIBAYA KWAKUA ROHO ZINAWAUMA ILA HAWANA JINSI
 
Wanaonipinga naelewa wanayoyapitia, kwa kifupi ni kwamba indirectly wanatetea mapito yao au maamuzi yao ya nyuma ambayo hayakua mazuri.

Mimi hapa kazi yangu ni kuwafungulia code wanaume ili wazitoe akili nje ya matrix na kuuona ukweli mchungu.
 
Najua hata wanaopinga ukweli unawaumiza sana Sema hawana namna
 
tatzo lilianzia kwa adam alipo toa tu ubavu, ikapelekea mwanaume awe ni mzee wa kutoa tu maisha yake yote, kwa iyo huu ni mwendelezo tu wa mwanaume kutoa.
kwa iyo toa chochote ili udumishe mahusiano ..du ni noma sana
 
Back
Top Bottom