Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima ni Mbovu mbovu sana.Tatizo, npendwa bure na nisiyempenda
Sure mzee mwenzangu, sema suala sio kutoa suala ni kwamba unampa nani? Wakati unatoa uyo anaepokea yeye anachangia nini?tatzo lilianzia kwa adam alipo toa tu ubavu, ikapelekea mwanaume awe ni mzee wa kutoa tu maisha yake yote, kwa iyo huu ni mwendelezo tu wa mwanaume kutoa.
kwa iyo toa chochote ili udumishe mahusiano ..du ni noma sana
Tutafute hela pia tukizipata tusizitapanye kwa matumizi ya ovyo mfano kuonga na uleviTUTAFUTE HELA HII NI CONCLUSION SIO MADA YA KUJADILIANA.
HAKIKA👍Tutafute hela pia tukizipata tusizitapanye kwa matumizi ya ovyo mfano kuonga na ulevi
Nadhani wamekuelewa sasaHaijalishi wewe ni nani, hakuna upendo wa bure kwa mwanaume. Upendo pekee wa bure utaupata kutoka kwa mama yako na dada zako, zaidi ya hao hakuna mwanamke mwingine atakupenda bure.
Unatakiwa kumlipa mwanamke ili akupende, huo ni ukweli ambao lazima ukubaliane nao, but don't panic, there is a good side in anything.
Uzuri ni kwamba ukifanikiwa kujijenga kimafanikio utakua na uhuru wa kuchagua mwanamke wa kumlipa.
Uzuri mwingine ni kwamba utakapokua tayari umeshafanikiwa chochote utakachomfanyia mwanamke as long as unamlipa bei inayomtosheleza yeye mwenyewe atatafuta sababu ya kukihalalisha (elewa neno chochote)
Hata siku moja usimbabaikie mwanamke, usijinyime kwa ajiri ya mwanamke, hakuna thamani ambayo mwanamke ataiongeza kwenye maisha yako, zaidi atakupandishia gharama za maisha tu. Women are liabilities in your life.
Ndoa au mahusiano serious ni liability kwa mwanaume, uwe umejipata au unajitafuta lazima kuna namna mahusiano yako yatakua liability kwako, sasa hii liability ni bora uibebe ukiwa umeshajipata kuliko kuibeba ukiwa bado masikini.
Sacrifice, devotion, passion and all love relationship stuffs are suitable to a woman because only her pussy is enough to sustain her relationship, but not you my brother.
I rest my case.
Hii comment yako imenifanya niipitie thread upya, uenda kuna kitu cha kijinga nimeandika maana sio kawaida maandiko yangu kuungwa mkono na wanawake, anyway iyo liability ninayowaambia wanaume wakubali kuibeba iwe calculated liability sio wawe maboyaNadhani wamekuelewa sasa
Then I say your experience is solely limited around desperate women. In which case you're partially right. But since nothing is absolute, then it means not every woman is a desperately money grabber. Some are independent or have rich parents. They want nothing from no man. Even interesting is, most of the time, they're the ones providing in a relationship.That is because no man on her cycle can give her more than that little you give her. The day that man shows she will dump you and even forget that you exist down the earth.
Women's love is opportunistic, period.
What am talking about is not my experience, is nature of women hypergamy. Even if she is rich or come from wealthy family she will still prefer a man who is stable financially atleast to her level, it's very barely to see a rich woman date broke guy unlike us men even if you are stable financially you can date poor girl and love her unconditinally. Again, woman's love is opportunistic, before she decide intering to relationship she calculate how she will benefit from it either now or on coming days. I agree that some women date broke guys and provide financially support to them without expecting anything in return but that is exception and exceptionality don't count when we do conclusion.Then I say your experience is solely limited around desperate women. In which case you're partially right. But since nothing is absolute, then it means not every woman is a desperately money grabber. Some are independent or have rich parents. They want nothing from no man. Even interesting is, most of the time, they're the ones providing in a relationship.
If women's love is opportunistic as you claim. Then what explains that in such circumstance? Edify us on this subject.
Mkuu upo sana against feminist, vip ushawahi kukisoma kitabu Cha power of the pussy.Haijalishi wewe ni nani, hakuna upendo wa bure kwa mwanaume. Upendo pekee wa bure utaupata kutoka kwa mama yako na dada zako, zaidi ya hao hakuna mwanamke mwingine atakupenda bure.
Unatakiwa kumlipa mwanamke ili akupende, huo ni ukweli ambao lazima ukubaliane nao, but don't panic, there is a good side in anything.
Uzuri ni kwamba ukifanikiwa kujijenga kimafanikio utakua na uhuru wa kuchagua mwanamke wa kumlipa.
Uzuri mwingine ni kwamba utakapokua tayari umeshafanikiwa chochote utakachomfanyia mwanamke as long as unamlipa bei inayomtosheleza yeye mwenyewe atatafuta sababu ya kukihalalisha (elewa neno chochote)
Hata siku moja usimbabaikie mwanamke, usijinyime kwa ajiri ya mwanamke, hakuna thamani ambayo mwanamke ataiongeza kwenye maisha yako, zaidi atakupandishia gharama za maisha tu. Women are liabilities in your life.
Ndoa au mahusiano serious ni liability kwa mwanaume, uwe umejipata au unajitafuta lazima kuna namna mahusiano yako yatakua liability kwako, sasa hii liability ni bora uibebe ukiwa umeshajipata kuliko kuibeba ukiwa bado masikini.
Sacrifice, devotion, passion and all love relationship stuffs are suitable to a woman because only her pussy is enough to sustain her relationship, but not you my brother.
I rest my case.
Sijawahi kukisoma, kinahusu nini?Mkuu upo sana against feminist, vip ushawahi kukisoma kitabu Cha power of the pussy.
Kitafute ukisomeSijawahi kukisoma, kinahusu nini?
King faisal "Mix their need of sex with your pussy, then you are armed with a dangerous weapon" thats for ladiesMkuu upo sana against feminist, vip ushawahi kukisoma kitabu Cha power of the pussy.
UmetishaKing faisal "Mix their need of sex with your pussy, then you are armed with a dangerous weapon" thats for ladies
But for men " The vagina is valueless when there is no desperate need of sex" mi nadhan wajuba tuishi humu tu..
Tuache tamaa iliyopitiliza kwa Ke. Na ke watajiset tu maana watajua tu kuwa zama zimebadilika
Imagine wanaume ndio matuner wa hii dunia but wanachelewa sana kuijua nguvu yao mpaka its too late.
Tuhamie tu kwenye lifestyle zingine then mambo yatajiset tu yenyewe haina haja ya kutumia nguvu katika hili. So tunachofanya ni kuiamsha jamii hususan wanaume wote wasiwe desperate for sex.
Tuwe kama simba mfalme wa nyika.
Ndio hivyo manUmetisha
Huu ushauri wa kukaa mbali na wife kwa sababu ya kua mpya kwake ni ushauri wa kijinga mno,ukiachia Gap kidogo wahuni wanakusaidiaNdio hivyo man
Sema tamaa ya K ni hatar sana narudia tena ni hatari tena sana tu so tupambane tuwe busy sana
Tuwe busy hata miezi mitatu bila kujipeleka karib na sex then mapumziko siku tano
Hapo sasa unafanya mpaka unaona kizungu zungu then unarudi kwenye ubize tena.
Kuja kushituka akaunti imenona afya imechanua nuru usoni ni ya kutosha maana hupati muda wa kuumizwa na mahusiano
Ujue hata kama ni wife hutakiwi kulala nae siku zote inatakiwa kama uko poa sana unahama na mkoa yaani mkikutana unakuwa mpya kwake tena.