Mwanaume hodari anajua kumdekeza mke/Mpenzi wake

Mwanaume hodari anajua kumdekeza mke/Mpenzi wake

View attachment 3646447

Nyumba sio kambi ya kijeshi wala sehemu ya kutoa amri. Ni mahali pa upendo, utulivu na furaha.

Mkeo au mpenzi wako ndiye mshirika wako wa maisha.

Baadhi ya wanaume hujifanya ni makamanda wa Jeshi nyumbani kwa kutoa amri za hapa na pale.

Mfano "Nipe maji ya kunywa"
"Niwekee maji ya kuoga"
"Njoo hapa"
"Vua Nguo"
"Nipe Mapenzi"
"Huendi"
"Nitanunua nikitaka"
"Wewe"
"Sikununulii"
"Sikupi"

Kumbuka kuwa huko nje unaweza kuwa bosi lakini nyumbani nyote ni familia Moja. Mwanamke anayehisi anathaminiwa ndiye atakayekupa amani ya akili na moyo.

Anapodekezwa mvuto wake unaongezeka. Anakuwa mtiifu zaidi, msikivu zaidi. Nyumba inajaa baraka, chakula kinakuwa kitamu, na matatizo yanapungua.

Kudekeza sio gharama ni uwekezaji.
View attachment 3646452

Usisubiri afanye kitu kikubwa ndio umpe sifa. Mshukuru hata kwa vitu vidogo. "Ninakushukuru" neno hili lina nguvu kuliko pesa nyingi.

#Mapenzi #Ndoa

Wewe uliyeposti hii inaonekana ni NJAA KALI SANA.

Hapo ulipo matundu yote mawili yameshazibuliwa Haina biKra ya kinyeo Wala ya kupitisha mtoto

Unakuja huku, kutaka kujifariji wakati unaumwa UTI Sugu huku njaa ikikusumbua. Wanaume hatutoi hela siku hizi kiboya boya

Hebu tupishe
 
Itategemeana na yeye anatabia zipi. Huwezi dekeza zombie likakuelewa lakini kama anajielewa na anafanya mambo kiustaarabu pasipo kulazimishwa hapo sawa bt kama ni yule wa kuambiwa kitu anakwambia anakuangalia kama zimwi my dear hapo hata mimi lazma nijifanye kauzu na i love you zangu bora nizigawe mitandaoni.
 
Back
Top Bottom